Kuna tabia ipo UEFA, timu moja ikipindua meza na nyingine zinafuata mkumbo.
Naona hii ni wiki ya underdogs kushangaza watu.
Kaanza man u jana. Leo Shakhtar Donetsk anamuadhibu Madrid, dk y 40+ tayari Madrid anaongozwa tatu bila.
Nawasubiri Atletico na Ajax