Mourinho leo kakipata cha mtema kumi...3-3 baada ya kuwa mbele kwa goli tatu
Nadhani msimu huu tutapata matokeo ya kushangaza kote ulaya..
Sijui ni ratiba iliyovurugwa na corona,mashabiki kutokuwepo uwanjani au giants wamebaki majina tu?..IDK kwa kweli,ila kuna namna klabu zimeathirika
Hehehehehe watasubiri sana Cavani ni the beast labda apigwe misumari na Martial
beki wanne na washambuliaji wawili kama kawaida kwenye 4-4-2 nyengine kinachobadilika ni midfield tu, diamond inaua winga na kuwa na midfield 4, mmoja mkabaji, mwengine mshambuliaji na midfield wa kulia na kushoto, tulicheza kidogo na lvg huu mfumo.pia mabeki wa pembeni wanakuwa wanapanda na kushuka kama mawinga.Hivi 4-4-2 diamond inakuwaje?
Problem Pogba ni expensive but now mkataba umebaki miaka 2 na posibility ya kwenda Barca au Madrid ni ndogounamuamini ED atamuuza pogba na kuleta winga wa kulia?
Lazy Boy alizingua sana siku ilewalianza kwa moto had nikajua mambo safi nikasepa kilichotokea ndio hicho daaaa ila kad nyekundu ilituharibia kwa hawa jamaa
Dooo!! Ni kama nilisahau hivi kuwa in charge wetu mkuu ni ED Woodwardunamuamini ED atamuuza pogba na kuleta winga wa kulia?
Nimekusoma sana mkuu!beki wanne na washambuliaji wawili kama kawaida kwenye 4-4-2 nyengine kinachobadilika ni midfield tu, diamond inaua winga na kuwa na midfield 4, mmoja mkabaji, mwengine mshambuliaji na midfield wa kulia na kushoto, tulicheza kidogo na lvg huu mfumo.pia mabeki wa pembeni wanakuwa wanapanda na kushuka kama mawinga.
hii picha inaonesha 4-4-2 ya kawaida na diamond
mkuu mimi sipo against kumuuza huyu jamaa na kuleta replacement, ila ED ana 10 ama 20% tu ya kuweza kukamilisha replacement, refer herrera, lukaku na wengineo.Problem Pogba ni expensive but now mkataba umebaki miaka 2 na posibility ya kwenda Barca au Madrid ni ndogo
I think kuna posibility Pogba hataongeza mkataba na akaondoka free kurudi Juventus au PSG
Uwezo wa kutufunga sita bila Red Card ile haukuwepowalianza kwa moto had nikajua mambo safi nikasepa kilichotokea ndio hicho daaaa ila kad nyekundu ilituharibia kwa hawa jamaa
msimu ambao tulifungwa 6 na city, tulimfunga 8 arsenal, hivyo wanaokuja wajiandae na sisi tutambaka tu kigogo mmoja muda si mrefu.Uwezo wa kutufunga sita bila Red Card ile haukuwepo
Sure,tusikae kinyonge..itakuwa poa hata kumuua Jogoo pale anfield ambako hajafungwa kitambo sanamsimu ambao tulifungwa 6 na city, tulimfunga 8 arsenal, hivyo wanaokuja wajiandae na sisi tutambaka tu kigogo mmoja muda si mrefu.
Juan Mata wakati yupo Chelsea ndo mchezaji nilikuwa namuogopa kuliko wote.Juan Mata’s game by numbers vs. Newcastle United:
94% pass accuracy
34 final third passes
3 chances created
3 ball recoveries
2/3 crosses
1 assist
#GGMU
manutd | View attachment 1603973
Kama vipi auzwe tu.Kocha anatakiwa afanye vyovyote pogba ang'are mana ndiyo mchezaji wa gharama zaidi pale OT, so ili iwe hivyo inabidi ampange juu vyovyote vile.