Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Happy 49th Birthday Andy!
heri ya kuzaliwa iwe juu yake (kuna kipindi alifanyiwa upasuaji wa figo, natumai anandelea nyema)

andrew cole alikuwa ni shujaa wangu wa kwenye televisheni takribani miaka 20 iliopita mpaka nikabatizwa jina lake (wengine tulipenda mpira wa miguu tukiwa wadogo sanaaaa)

fergie alikuwa na moyo wa ajabu sana, hujui ni muda gani anaweza kuchukua uamuzi wa kumuondoa kipenzi chako kwenye timu na wakati huo huo anambakisha mchezaji usiyempenda (mikel silvestre)
 
★Tuwape muda vijana wetu hata mjenzi Wa nyumba alianza kama kibarua ndipo akaanza kupata uzoefu na akapewa kazi baada ya kuaminiwa ko Ole tumpe muda bhana japo ananikeraga ila namuamini anakitu flani ndani ake wasibaki akina Zidane na Pep tu kutwaa makombe Tumpe muda★
tokea mwanzoni nilikuwa pro Ole na bado naendelea kuwa hivyo japokuwa asilimia za uaminifu kwake zimepungua baada ya kuanza vibaya kwa ligi(natumai atajirekebisha). Nakumbuka siku aliyotangazwa Ole kuwa interim niliandika mawazo yangu humu kuhusiana na ugumu utakaowakabili viongozi wa juu pindi watakapohitaji kufanya mabadiliko ya kumuondoa Ole (legend anayehishimika na kila kizazi).

kwa kulifahamu hilo nilitegemea uwepo wa mawasiliano bora kati ya manager asiyekuwa na uzoefu mkubwa kimafanikio na uongozi wa juu kwenye suala zima la uendeshaji wa timu, nikimaanisha Ole alipaswa azungukwe na kundi la wabobevu wa soka kuanzia ndani ya klabu hadi benchi la ufundi whether ishu ya kusimamia fitness za wachezaji, tactics n.k (unajua timu yetu inapitia nyakati za mabadiliko au transition na mwalimu wetu pia naye anapitia nyakati za mabadiliko kwa sababu bado hajaweza kuishawishi dunia ya kwamba yeye ni mtu sahihi anayeweza kuisimamia man utd)

nafahamu takribani makocha wote professionals hupendelea zaidi kuzungukwa na watu anaowafahamu na kuwaamini tokea mwanzoni hivyo basi si Ole pekee anayetekeleza mkakati huu wa kuajiri marafiki zake wa kitambo( unajua kazi ya ufundishaji ina changamoto zake, sometimes unaweza kujikuta upo kwenye mkwamo na unahitaji watu wa karibu watakaoweza kukuelewa kwa haraka visions zako)

changamoto kubwa inakuja pale ambapo benchi lako la ufundi unaloliamini linakosa mtu mwenye uwezo wa kwenda mbali kifikra zaidi yako na kuweza kukuletea challenges ili ujaribu kitu kipya kwa muda sahihi.

kwa ufupi nikiliangalia benchi la ufundi na huu mpira tunaocheza uwanjani napatwa na mashaka makubwa sana na ubora wa benchi letu la ufundi linaloongozwa na (Michael Carrick, Kieran McKenna, Mark Dempsey, na mike phelan), nadhani kunahitajika mabadiliko kwanza ya benchi letu pasina kuangalia hoja ya urafiki na dhana ya ulegend.

Ok tunaweza kusema gaffer(alex ferguson) alikuwa ni mwalimu bora sana kuwahi kutokea hapa duniani lakini tunachokisahau ni kwamba hata sir alex kwa nyakati tofauti aliweza kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi kwa sababu tofauti na hatimaye kuingiza damu mpya zenye kuendana na mageuzi mapya ya soka la kisasa, si hivyo tu pia kwa nyakati tofauti waliweza kuleta challenges kwa mwalimu mkuu(carlos queroz,walter smith,steven mclaren, rene meulensteen, phelan)

kwa kocha ambaye hana uzoefu wa kuisimamia klabu yenye presha kubwa kama united bila ya shaka anahitaji kuzungukwa na watu sahihi wenye uwezo wa kufanya maamuzi yenye maslahi bora kwa klabu ndani ya muda sahihi(Hans-Dieter "Hansi" Flick wa bayern munich hajawahi kusimamia team zaidi ya bayern munich, kivyovyote huwezi kuyasifia mafanikio yake bila ya kuwataja mabeberu wa soka waliopo nyuma yake kama vile Karl-Heinz Rummenigge)

hebu fikiria
  • klabu imefanya uamuzi wa kumsajili edinson cavani aliyekuwa huru kufanya uhamisho tokea mwezi June siku moja kabla ya dirisha kufungwa
  • tumesajili watoto ambao naamini ni panic buy kwa lengo la kuwaliwaza mashabiki uchwara siku moja kabla ya dirisha la usajili kufungwa (kama tulishashindwa kufikia dau la jadon sancho kwa sababu ya corona sasa kwa nini tulikuwa tunapoteza muda kwa takribani miezi mitatu haliyakuwa targets nyenginezo zipo sokoni), hatimaye vijana hawa wamekosa muda wa kukamilisha taratibu za ufanyaji kazi uingereza huku mwengine akiwa hana match fitness.
ina maana tuna matatizo makuu mawili kwa sasa ndivyo ninavyojiaminisha
 
Nyie punda nikiona haya matukio yaliyosababisha kukatisha unbeaten yetu kwa dhulma, la sivyo tungekuwa unbeaten hadi leo, kenge nyie.. View attachment 1602061

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Hiyo mechi walibebwa wazi wazi, ndio maana Wenger alisema hii kauli baada ya hiyo mechi

“If I die, I am going to ask God where the referees are before choosing between heaven & hell.”

Marefa walipambana kwa hali na Mali ,unbeaten iishe ...
 
Tunasikitika kutokuwepo na wachezaji wetu tegemezi kama vile captain wetu Jamaal Lascelles na Ritchie kwenye jeshi letu la Newcastle..

Ila sio mbaya, bado tunamtegemea Maguire atupe assist, atusaidie kuwakaba mabeki wa Man Utd na ikiwezekana apate Red Card.
nimesikia longstaff (asali ya warembo waliopo old trafford) amerudi
 
pole ila yote maisha★
heri ya kuzaliwa iwe juu yake (kuna kipindi alifanyiwa upasuaji wa figo, natumai anandelea nyema)

andrew cole alikuwa ni shujaa wangu wa kwenye televisheni takribani miaka 20 iliopita mpaka nikabatizwa jina lake (wengine tulipenda mpira wa miguu tukiwa wadogo sanaaaa)

fergie alikuwa na moyo wa ajabu sana, hujui ni muda gani anaweza kuchukua uamuzi wa kumuondoa kipenzi chako kwenye timu na wakati huo huo anambakisha mchezaji usiyempenda (mikel silvestre)
 
★Donny van de Beek has been directly involved in a goal every 126 minutes so far this season on average, scoring 2 and assisting 1 in 377 minutes.★


#GGMU


manutd |
IMG_20201016_201641_751.jpeg
 
Hiyo mechi walibebwa wazi wazi, ndio maana Wenger alisema hii kauli baada ya hiyo mechi

“If I die, I am going to ask God where the referees are before choosing between heaven & hell.”

Marefa walipambana kwa hali na Mali ,unbeaten iishe ...
kitambo sana hii mechi......
bahati nzuri nilibahatika kuziangalia mechi zote mbili kuanzia ile ya suluhu mpaka hii tuliobebwa dhahiri
watu wagumu kama vile martin keown wameisha duniani
 
Pogba ni mchezaji mzur ila toka aanze kuitajataja madrid simpendi hata kidogo sijui kwa nini hawamuachii atagawanya san timu kwa maneno yake hii timu hii daaaa inakwama wapi toka aje anatetewa tu wanalazimisha kubaki na mtu asietaka wangeuza huyu viungo makini wapo wengi sana anaweza kutusaidia na tukampongeza hapa ila sina imani nae huyu jamaa pogba na martial wajeuri sana hawa wafaransa
 
Soma hapo nilipozungushia na hiyo red mkuu.....Bruno alishwe maneno na goal.com na Metro, ESPN na Manchesyer evening?

Najua unaijua psychology ya stars na watu waliopo kwenye spotlight vizuri, kuwa hawawezi sema kitu bila kumaanisha kitu, yani kila neno linatolewa kwa madhumuni fulani, najua bruno hapo mwisho anamaana yake.....

Ole is good for nothing, yani Kocha wa Manchester anasema mechi imeishaisha tuna game nyingine nyingi? Kweli alafu anajitetea DNA mara rebuld like serious....DNA yetu ni kutokata tamaa ila yeye halftime nasema mechi imeishaisha.....

Kwanza sajili zake zote zimefail nioneshe iliyofanikiwa , usiseme first target wakati tunajua wazi Daniel james, Bissaka, Maguire na Ighalo walikuwa target zake yeye mwenyewe nina ushahidi wa kauli zake alizotoa kwenye press kuhusu hao jamaa....

na hata hizo sajili alizoruhusu kuuza wachezaji mfano Lukaku, Young hao wote wanafanya vizuri inter tena kwa viwango vikubwa tu.... Alafu sijazungumzia mtu kutumia game zote 4-3-1-2 kwa kurudia kikosi kilekile kilasiku na sub zinaanzia 85 mara 77.....

Ukibisha na hii nakuletea video mkuu....

Poch in View attachment 1601154
Kuliko Poch kuifundisha bora Mou arudi.

Poch is as useless as Ole.
 
Pogba ni mchezaji mzur ila toka aanze kuitajataja madrid simpendi hata kidogo sijui kwa nini hawamuachii atagawanya san timu kwa maneno yake hii timu hii daaaa inakwama wapi toka aje anatetewa tu wanalazimisha kubaki na mtu asietaka wangeuza huyu viungo makini wapo wengi sana anaweza kutusaidia na tukampongeza hapa ila sina imani nae huyu jamaa pogba na martial wajeuri sana hawa wafaransa
Jeuri ya Martial ni ipi ?
 
Back
Top Bottom