Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jeuri ya Martial ni ipi ?

Wale na lukaku zilikuwa haziivi wakiwa uwanjan na pogba wanajaliana wao tu kuna makala ipo lukaku kaongea mwez uliopita utulivu kwa wachezaj pale united hakuna kwa maelezo yake wao wanajiiona ni daraja la juu sana ni muendelezo wa matatizo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo bruno tayar wamezinguana na kocha japo wanakanusha
 
Leo siku ipo tight kinyama;

✓Everton vs Liverpool 14:30 pm

✓Man City vs Arsenal 19:30pm

✓Inter Millan vs Ac Millan 19:00pm

✓Newcastle vs Man United 22:00pm

Siangalii mechi na matokeo mfukoni tunaweza kupewa suprise na hawa Newcastle leo
 
Sikujua hilo mkuu
Ila mimi Pogba simkubali kabisa......
 
Leo siku ipo tight kinyama;

✓Everton vs Liverpool 14:30 pm

✓Man City vs Arsenal 19:30pm

✓Inter Millan vs Ac Millan 19:00pm

✓Newcastle vs Man United 22:00pm

Siangalii mechi na matokeo mfukoni tunaweza kupewa suprise na hawa Newcastle leo

mi naamini tunashinda leo
 
Wale na lukaku zilikuwa haziivi wakiwa uwanjan na pogba wanajaliana wao tu kuna makala ipo lukaku kaongea mwez uliopita utulivu kwa wachezaj pale united hakuna kwa maelezo yake wao wanajiiona ni daraja la juu sana ni muendelezo wa matatizo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo bruno tayar wamezinguana na kocha japo wanakanusha
Kwahiyo nani jeuri Bruno,Martial au Pogba?

Huyo Lukaku aache ujinga alikuwa anapewa pasi kibao tu asidhani tulikuwa hatucheki gemu
 
Pogba na martial bruno hakufarahishwa na mbinu za kocha ktk kipigo cha goli 6 baada ya kulimwa kad nyekundu martial
 
Wale na lukaku zilikuwa haziivi wakiwa uwanjan na pogba wanajaliana wao tu kuna makala ipo lukaku kaongea mwez uliopita utulivu kwa wachezaj pale united hakuna kwa maelezo yake wao wanajiiona ni daraja la juu sana ni muendelezo wa matatizo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo bruno tayar wamezinguana na kocha japo wanakanusha
Lukaku ndie alianza kumponda Martial kwenye media sasa hapo Forward mwenzio team mate mwenzio unamponda kwenye vyombo vya habari?
 
Back
Top Bottom