Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu embu break down kidogo hiyo ishu au nipe link ya kuisoma
Unaweza isoma hapa
Project Big Picture Q&A: what are the proposals and what happens next? | Paul MacInnes

Ila kwa kifupi Glazer na Henry wa liverpool wanataka
1. Ligi ipunguzwe iwe na timu 18
2. Asilimia 25 ya mapato wapewe timu kubwa 6 na inayobakia 75 igawanywe timu zote zikiwemo kubwa.
3. Timu 6 kubwa na nyengine 3 zilizokaa Epl muda mrefu ziwe na kura ya Turufu wakiamua chochote Timu ndogo za Epl zisiweze kupinga.

Sababu ya Epl kuwa competitive ni kwamba hata timu inayoshuka daraja ina hela za kutosha kufanya usajili mfano Aston Villa, hivyo kitu kama hichi cha kuzipa nguvu timu kubwa kitaharibu sana ligi.

Ligi yao kina Glazzer ya Nfl huko usa hata kushuka Daraja haina.
 
★Happy 49th Birthday Andy!

#GGMU

manutd |
IMG_20201015_113555_665.jpeg
 
Kwa sasa ststus ipoje? Wanagawana sawa au ni tofauti. Km wanagawana sawa, haiko sawa. Kuna timu ambazo global fanbase yake inaipa value kubwa EPL. Sema labda waje na mechanism fair ya ku-determine timu kubwa na mgawanyo uwe supported na valid facts.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa sasa upo fair kiasi fulani, timu kubwa zinapata zaidi ila gap ni dogo, timu zinazoshuka daraja kupata 100m ni kawaida

Premier%2BLeague%2BPrize%2BMoney.jpg

Ndio maana ni kawaida kukuta Timu ndogo ya epl ikiikatalia timu kubwa isisajili wachezaji wake.
 
Habari ilikuwa hivi;

“Fernandes opinion of Solskjaer is similar to that of other players in the team. He does not think he’s strong enough to manage the squad and does not have the capabilities to push the players forward in the direction they should go.” @DuncanCastles #MUFC

Inaonekana siyo ishu ya Bruno pekee, hii habari inaweza kuwa ya ukweli ila ili kulinda image ya club inabidi waikanushe.
Duncan Castle is a filthy lier, he never say anything good about #MUFC.
 
Sehemu ya Kauli ya Bruno Fernandez alipoulizwa kuhusu rumours za kugombana na solskjaer na maguire at half time....

"Ni kweli nilitolewa kipindi cha kwanza kwa kuwa ilikuwa ni mbinu za kocha na alikuja akaniambia kuwa mechi imeishaisha na tuna mechi nyingi mbele yetu, Ni kweli sikuridhishwa na uamuzi huo lakini sikuwa na uamuzi wowote"

Yani kocha wa manchester united anasema game imeishaisha hivi Ole anajitambua, na bruno mwisho amesema hakuridhishwa na uamuzi lakini hakuwa na lakufanya inamaana still anakinyongo.....hizi tetesi za wachezaji kuona Ole hayupo imara kuifundisha Man u inawezekana ni kweli wala hakuna uongo.....

Wale timu Ole wajue jamaa yao ndo aliesema game imeisha alafu bado wanamtetea eti amebeba DNA ya man united hell no labda DNA ya norway huko alikotoka
 
Acheni kusikiliza media za Vichochoroni Bruno Amekanusha Vikali sana Hizi tetesi

"At the end of the game, the coach sent me a message to wish the Seleção good luck and if I wanted to give a word of support to the team. We spoke at the end by message and I just have to be grateful to the coach who bet on me, his tactics are perfect for me ", he stressed, shooting:" Do not use my name, my colleagues or the coach to make trouble at Manchester United because the atmosphere is good and the team is ready to respond in the next game."

Yani Bruno Atakuwa ni mchezaji wa mwisho kumkataa Ole, sababu mfumo mzima unamzunguka yeye na tunacheza ili kumfanya yeye Ashine, kwanini amchukie Ole?
 
Mfumo wa sasa upo fair kiasi fulani, timu kubwa zinapata zaidi ila gap ni dogo, timu zinazoshuka daraja kupata 100m ni kawaida

Premier%2BLeague%2BPrize%2BMoney.jpg

Ndio maana ni kawaida kukuta Timu ndogo ya epl ikiikatalia timu kubwa isisajili wachezaji wake.
Ok. Ni nzuri, mfumo una kaujamaa flani ambako Ulaya wanakachukia.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Acheni kusikiliza media za Vichochoroni Bruno Amekanusha Vikali sana Hizi tetesi

"At the end of the game, the coach sent me a message to wish the Seleção good luck and if I wanted to give a word of support to the team. We spoke at the end by message and I just have to be grateful to the coach who bet on me, his tactics are perfect for me ", he stressed, shooting:" Do not use my name, my colleagues or the coach to make trouble at Manchester United because the atmosphere is good and the team is ready to respond in the next game."

Yani Bruno Atakuwa ni mchezaji wa mwisho kumkataa Ole, sababu mfumo mzima unamzunguka yeye na tunacheza ili kumfanya yeye Ashine, kwanini amchukie Ole?
Soma hapo nilipozungushia na hiyo red mkuu.....Bruno alishwe maneno na goal.com na Metro, ESPN na Manchesyer evening?

Najua unaijua psychology ya stars na watu waliopo kwenye spotlight vizuri, kuwa hawawezi sema kitu bila kumaanisha kitu, yani kila neno linatolewa kwa madhumuni fulani, najua bruno hapo mwisho anamaana yake.....

Ole is good for nothing, yani Kocha wa Manchester anasema mechi imeishaisha tuna game nyingine nyingi? Kweli alafu anajitetea DNA mara rebuld like serious....DNA yetu ni kutokata tamaa ila yeye halftime nasema mechi imeishaisha.....

Kwanza sajili zake zote zimefail nioneshe iliyofanikiwa , usiseme first target wakati tunajua wazi Daniel james, Bissaka, Maguire na Ighalo walikuwa target zake yeye mwenyewe nina ushahidi wa kauli zake alizotoa kwenye press kuhusu hao jamaa....

na hata hizo sajili alizoruhusu kuuza wachezaji mfano Lukaku, Young hao wote wanafanya vizuri inter tena kwa viwango vikubwa tu.... Alafu sijazungumzia mtu kutumia game zote 4-3-1-2 kwa kurudia kikosi kilekile kilasiku na sub zinaanzia 85 mara 77.....

Ukibisha na hii nakuletea video mkuu....

Poch in
IMG_20201015_170832_977.JPG
 
Back
Top Bottom