williamskowero
Member
- Aug 22, 2013
- 36
- 11
........hahaha, na mshaanza kucheza kama Everton mjue!
Hahah tulieni muone balaa la moyes ss
........hahaha, na mshaanza kucheza kama Everton mjue!
Na pia watachukua nafasi ya Everton msimu huu.
Uchambuzi wako umetulia. nikiongezea kidogo tu kwamba, Ni wakati sasa wa Kagawa na Anderson kuonyesha ubora wao hivyo itakua ni jambo jema Moyes akiwapa nafasi.Kagawa anasemekana bado hana match fitness. Zaha bado dogo, ila anahitaji kuchezeshwa hata kidogo kidogo ili kujenga kujiamini.
Nimesikia Fellaini tayari is a done deal. Tunahitaji sana kuongeza ubunifu pale kati na kupata mtu wa box to box. Kama kweli tukiwapata Fellaini na Herrera, basi timu itakuwa poa sana.
Namwini sana Moyes, ni kocha mzuri sana. Ila watu wanataka miujiza, wakati ndiyo kwanza mechi 3 za ligi. Bado anajaribu kuweka staili yake ya uchezaji.
Defensively, tupo poa..goli 2 tu ndizo zimeingia nyavuni kwa United hadi sasa...ila Evra anapaswa awe anasaidiwa na Buttner. Rafael akirudi, Jones anaweza kuwa anasaidiana na box to box mid atakayesajiliwa. Huku Antonio akisaidiana na Zaha na Nani. Young hata mimi naanza kukata naye tamaa, sijui majeruhi ama!!! Nani anapaswa apewe nafasi sana za kuanza na Antonio, huku Zaha akiwasaidia.
Kagawa akiwa fit, atasaidiana sana na Rooney. Huku RvP, Hernandez na Welbeck wakipiga forward. Nilimwaminia sana Cleverley, lakini naona kama ananiangusha katika kupeleka pasi kwa forwards, anacheza kama namba 6 bana!! Hivyo Carrick na Anderson watasaidiana na midfielders watakaosajiliwa pia.
Cc: mfarisayo
Uchambuzi wako umetulia. nikiongezea kidogo tu kwamba, Ni wakati sasa wa Kagawa na Anderson kuonyesha ubora wao hivyo itakua ni jambo jema Moyes akiwapa nafasi.
.....hahaha....waambie wewe kaka, mie mbu tu!
Teh teh ni kawaida yetu kuwatanguliza kwanza mkatushkie nafas yetu juu pale alaf tunakuja kama kawa
Nyie mashabiki wa Arsenane mnakuja kwa mbwembwe badae mnamwachia Wacha na Balantanda jukwaani tunakuomba uwe unatembelea haya majukwaa hadi msimu unapoisha sio mkifungwa mnakimbiaNa pia watachukua nafasi ya Everton msimu huu.
Nyie mashabiki wa Arsenane mnakuja kwa mbwembwe badae mnamwachia Wacha na Balantanda jukwaani tunakuomba uwe unatembelea haya majukwaa hadi msimu unapoisha sio mkifungwa mnakimbia
......samahani naomba kuuliza,
Eti jukwaa la Manchester United limefutwa?
Thread inasomeka "NEW EVERTON!"
😆😆😆
Meli ya Arsenal ikianza kuyumba na wewe unakimbilia kule MMU,......samahani naomba kuuliza,
Eti jukwaa la Manchester United limefutwa?
Thread inasomeka "NEW EVERTON!"

Meli ya Arsenal ikianza kuyumba na wewe unakimbilia kule MMU,
January tunakuja mchukua Ramsey naona ameshakomaa
...Robin Van Persie, has yet to be convinced by new Old Trafford boss Moyes, who replaced Sir Alex Ferguson in the summer.
The Dutchman has told pals he is missing Fergie, who was key in persuading him to quit Arsenal for Old Trafford a year ago in a £25m deal.
Nyie mashabiki wa Arsenane mnakuja kwa mbwembwe badae mnamwachia Wacha na Balantanda jukwaani tunakuomba uwe unatembelea haya majukwaa hadi msimu unapoisha sio mkifungwa mnakimbia
Huyu fellaini anatakiwa aongeze ungangari na pia atoe pasi za mwisho,akiweza hayo atakuwa wa faida sana kwetu
Huyu fellaini anatakiwa aongeze ungangari na pia atoe pasi za mwisho,akiweza hayo atakuwa wa faida sana kwetu
Rooney: Some people seem to be questioning my commitment to the England squad and the fact I had to pull out of the 2 games. There's nothing I would like more than to be helping the lads in the qualifiers. I'm sure people will see from these images the reason why I won't be able to play.
![]()
Get Well Soon
Nani kasaini mkataba wa miaka 5; inaonekana Moyes anataka kumtumia.