Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The new Man Utd Players look....hahahaha, me loving it

BT9yQY5CAAAut6K.jpg
 
Fellaini na Rooney ndani ya nyumba.

Dakika chache kabla ya game.
 
Starting line-ups
1 David De Gea
22 Fabio Da Silva
5 Rio Ferdinand
15 Nemanja Vidic
3 Patrice Evra
16 Michael Carrick
8 Oliveira Anderson
25 Antonio Valencia
10 Wayne Rooney
18 Ashley Young
20 Robin van Persie

Substitutes
6 Jonny Evans
14 Javier Hernandez
23 Tom Cleverley
29 Wilfried Zaha
31 Marouane Fellaini
40 Ben Amos
44 Adnan Januzaj

Kagawa nasikia ana mild flu!
 
Game inaendelea...ila bado hakujatokea clear cut chances za kufunga kwa timu zote.
 
Ashley kapewa kadi ya njano kwa kudive...kastahili hiyo kadi. Kwani ni kweli amejiangusha.
 
Dk. 28 MUN 0 CRY 0

United wakiendelea kumiliki mpira, ila wakikosa mbinu za kwenda kufunga!
 
Naona mashabiki wa United wamevalia mawigi yenye kufanana na nywele za Fellaini, aliye benchi.
 
RvP anakosa tena bonge la nafasi ya goli; anagonga mwamba hapa, baada ya kupokea bonge la pasi kutoka kwa Rooney.

SAF ndani ya OT; kasaluti pasi ya Rooney
 
Rooney naye kakosa nafasi yq goli la kichwa, baada ya cross ya Young. Dk. 40
 
Back
Top Bottom