Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"There's a few things going on but we will know soon. I don't know how long there is to go, not long, and we'll see but, as I've said, I'm really pleased as the players have given me a lot of confidence."
 
Nzi,
Last season tulicreate chance nyingi sana za kufunga,msimu huu limekuwa tatizo nashangaa kwa nini Moyes hataki kuwatumia Zaha na Kagawa,I hope Rafael atarudi soon Good thing msimu huu defence imeimprove sana

Moyes anasifika sana kwa kutengeneza defence tumu ipo vizuri inahitaji tu marekebisho kwnye kutengeneza nafasi may msimu huu Luis Nani atabadilika, Young cross zake hovyo sana
 
Nzi,
Last season tulicreate chance nyingi sana za kufunga,msimu huu limekuwa tatizo nashangaa kwa nini Moyes hataki kuwatumia Zaha na Kagawa,I hope Rafael atarudi soon Good thing msimu huu defence imeimprove sana

Kagawa anasemekana bado hana match fitness. Zaha bado dogo, ila anahitaji kuchezeshwa hata kidogo kidogo ili kujenga kujiamini.

Nimesikia Fellaini tayari is a done deal. Tunahitaji sana kuongeza ubunifu pale kati na kupata mtu wa box to box. Kama kweli tukiwapata Fellaini na Herrera, basi timu itakuwa poa sana.

Namwini sana Moyes, ni kocha mzuri sana. Ila watu wanataka miujiza, wakati ndiyo kwanza mechi 3 za ligi. Bado anajaribu kuweka staili yake ya uchezaji.

Defensively, tupo poa..goli 2 tu ndizo zimeingia nyavuni kwa United hadi sasa...ila Evra anapaswa awe anasaidiwa na Buttner. Rafael akirudi, Jones anaweza kuwa anasaidiana na box to box mid atakayesajiliwa. Huku Antonio akisaidiana na Zaha na Nani. Young hata mimi naanza kukata naye tamaa, sijui majeruhi ama!!! Nani anapaswa apewe nafasi sana za kuanza na Antonio, huku Zaha akiwasaidia.

Kagawa akiwa fit, atasaidiana sana na Rooney. Huku RvP, Hernandez na Welbeck wakipiga forward. Nilimwaminia sana Cleverley, lakini naona kama ananiangusha katika kupeleka pasi kwa forwards, anacheza kama namba 6 bana!! Hivyo Carrick na Anderson watasaidiana na midfielders watakaosajiliwa pia.

Cc: mfarisayo
 
Last edited by a moderator:
Kweli man u,hatushikiki hasa baada ya mechi ya leo dhidi ya liverpool!!!
 
article-2407099-1B90C5F5000005DC-692_636x461.jpg

Hakuna cha Mfarisayo wala Belo naona msiba mkubwa
huu ngebe zote kwishnei.
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee

BTW Nzi ameonekana kunyatia Thread ya Gunners, BJ ndo kabisa mtamwaona baada ya internationals. Niliwaambia Fungie alichukua bahasha zote na habari za kutetemeshana zimeisha ....... ..... imekula kwenu! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee. Nachikia Ngongo anawewesekaweweseka kule ARS Eqlpzzzzzzzzzzz wanamrudisha ICU wengine wamebaki kutangatanga tu. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2407099-1B90DCD5000005DC-253_634x446.jpg

Judas Iskariot hakucheza leo .... .

article-2407099-1B90DC38000005DC-703_634x417.jpg

Cleverly hakuwepo .... ... .

article-2407099-1B90DF7F000005DC-637_634x522.jpg

article-2407099-1B90C5F5000005DC-385_634x468.jpg

Daniel Sturridge gave Liverpool the lead with a header
in the fourth minute

article-2407099-1B90BCF6000005DC-285_634x403.jpg

Right place: Sturridge flicked home Daniel Agger's header from two yards

article-2407099-1B90CFBA000005DC-754_634x412.jpg

On form: Sturridge has scored in all four
of Liverpool's matches this season

article-2407099-1B90D782000005DC-568_634x499.jpg

Embrace: Sturridge hugs manager Brendan Rodgers
after giving Liverpool the lead

Manure folks ooops Mashoga .... ... look away now! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee ushoga haulipi kwenye soka.
 
Kagawa anasemekana bado hana match fitness. Zaha bado dogo, ila anahitaji kuchezeshwa hata kidogo kidogo ili kujenga kujiamini.

Nimesikia Fellaini tayari is a done deal. Tunahitaji sana kuongeza ubunifu pale kati na kupata mtu wa box to box. Kama kweli tukiwapata Fellaini na Herrera, basi timu itakuwa poa sana.

Namwini sana Moyes, ni kocha mzuri sana. Ila watu wanataka miujiza, wakati ndiyo kwanza mechi 3 za ligi. Bado anajaribu kuweka staili yake ya uchezaji.

Defensively, tupo poa..goli 2 tu ndizo zimeingia nyavuni kwa United hadi sasa...ila Evra anapaswa awe anasaidiwa na Buttner. Rafael akirudi, Jones anaweza kuwa anasaidiana na box to box mid atakayesajiliwa. Huku Antonio akisaidiana na Zaha na Nani. Young hata mimi naanza kukata naye tamaa, sijui majeruhi ama!!! Nani anapaswa apewe nafasi sana za kuanza na Antonio, huku Zaha akiwasaidia.

Kagawa akiwa fit, atasaidiana sana na Rooney. Huku RvP, Hernandez na Welbeck wakipiga forward. Nilimwaminia sana Cleverley, lakini naona kama ananiangusha katika kupeleka pasi kwa forwards, anacheza kama namba 6 bana!! Hivyo Carrick na Anderson watasaidiana na midfielders watakaosajiliwa pia.

Cc: mfarisayo

Kwa hali ya sasa ni afadhali Buttner awe anacheza beki na Evra awe anacheza kama winga ( wafanye shifting beki tatu na winga) nadhani cross nzuri zitakuwepo
 
Ngoja tusubiri suprise ya usajili leo,in general timu iko vizuri tatizo kubwa ni kutengeneza nafasi za kufunga

Mkuu Belo, Defense iko safi kabisa, tatizo ni midfield na wafungaji. Kuna kijana miguu mirefu (Welbeck), sijui kwa nini wanampanga? Simuamini hata kidogo. Badala yake wanapashwa kumchezesha Chicharito, huyo miguu mirefu hapana!!!!!
 
T
article-2407099-1B90DCD5000005DC-253_634x446.jpg

Judas Iskariot hakucheza leo .... .

article-2407099-1B90DC38000005DC-703_634x417.jpg

Cleverly hakuwepo .... ... .

article-2407099-1B90DF7F000005DC-637_634x522.jpg

article-2407099-1B90C5F5000005DC-385_634x468.jpg

Daniel Sturridge gave Liverpool the lead with a header
in the fourth minute

article-2407099-1B90BCF6000005DC-285_634x403.jpg

Right place: Sturridge flicked home Daniel Agger's header from two yards

article-2407099-1B90CFBA000005DC-754_634x412.jpg

On form: Sturridge has scored in all four
of Liverpool's matches this season

article-2407099-1B90D782000005DC-568_634x499.jpg

Embrace: Sturridge hugs manager Brendan Rodgers
after giving Liverpool the lead

Manure folks ooops Mashoga .... ... look away now! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee ushoga haulipi kwenye soka.

hahahahahahaha mkuu kwamba Yuda iskariot hakuonekana?
 
Plan Moyes kumsajili Baines au Contrecao imeshindwa, Moyes alikuwa analenga kumtumia Evra kama Winga ili kuleta ufanisi kwenye Cross Winga waliopo wameshindwa kabisa kutengeneza nafasi kwa Washambuliaji
 
Bado naamini Nani na Antonio ni wingers wazuri tu. Moyes anapaswa awaanzishe wote, huku wakisaidiwa na Zaha.

Kwa upande mwingine, kama anataka Evra acheze kama winger, basi amtumie dogo Buttner katika namba 3. Ili Evra aende mbele.

Lakini mimi naona option ya kuwatumia Nani na Antonio ndiyo yenyewe.

Anyway, Moyes ndiyo mwamuzi wa mwisho.
 
Kimsingi Valencia yupo vizuri kiasi, Nani akiacha ubinafsi anaweza kutengeneza nafasi nyingi zaidi, Zaha ni potential anahitaji marekebisho madogo sana Option ya Butner na Valencia kucheza pamoja si ya siku zote ni Option inayotakiwa pale Winga wanapokuwa hawapo vizuri na Kwenye game ngumu zinazohitaji ulinzi mzuri wa pembeni.
 
Back
Top Bottom