Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

......salaam aleykum BelindaJacob, salaaam aleykum Belo, salaam aleykum Manda, ndugu, jamaa na marafiki wa Man United!...
Mbu wewe nilijua tu utakuwa umeangusha mstari matata..Bravo to Liverpool, mie nimenywea kama maji ya kwenye simtak🙂

...Wamejificha saa hizi wanachungulia kwa mbaliiii..... BelindaJacobs & Co where are you!? We miss you 🙂🙂🙂

Tupo sana BAK, si unajua midadi ya mpira mpaka 90 mnts..weekend imeisha vibaya kweli kweli, agrrrrrrr!! TEAMMAJANGA
 
Last edited by a moderator:
Pole sana lakini nimefurahi kukuona maana najua you're okay 🙂🙂....ndio jina lenu jipya hilo Team Majanga!? 🙂🙂

Mbu wewe nilijua tu utakuwa umeangusha mstari matata..Bravo to Liverpool, mie nimenywea kama maji ya kwenye simtak🙂

Tupo sana BAK, si unajua midadi ya mpira mpaka 90 mnts..weekend imeisha vibaya kweli kweli, agrrrrrrr!! TEAMMAJANGA
 
Mkuu usisahau lakini biashara asubuhi jioni kuhesabu faida...Ni kweli lakini bado ni mapema mno but at the same time this is the first time in six years (2006) MANU failed to score a single goal in back to back matches.

Asante chifu...yaani mechi 3 tu, lakini haters wanachonga ngenga kama United tumeshuka daraja.
 
Jamani hamjui hata hongera mnajuwa kuzipokea tu sindio hehehe nasikia clevely bado anautafuta ule mpira umeenda wapi? Sasa Nyie washabiki wa Man U mtamsaidia kumpa jibu mchezaji wenu na chuki zenu za unazi.
 
Kwi kwi kwi kwi...Mtaomba SAF aahirishe retirement yake.... kwa miaka mingine mitatu ili aje aokoe jahazi.

Timu imecheza vizuri tumefungwa kimchezo tu, tena ukilinganisha na game za nyuma utaona liva walikuwa wanatunyanyasa sana walikuwa wanatufunga na kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa sana lakini leo timu imecheza fresh ila tumeshindwa tu kutumia nafasi zilizopatikana
 
watu mnachonga sana humu, kule kwetu tulipofungwa gemu ya mwanzo mlichonga sana leo vipi? ligi bado kabisa kila timu itapoteza na ndipo inapojipanga
Kwa mpira wa leo Man hawakucheza vibaya lakini inaweza kuharibu wasipoangalia uchezaji wao, RVP anaweza kuharibu sana kwani anafanya yeye ndio yeye Babu Feg anaweza kumshukia kwa haraka asipobadilika
Poleni kwa kichapo sisi tumekwisha zoea
 
Poleni sana kwa kucheza vizuri Mkuu lakini kuondoka uwanjani na ZERO point...Ball possession MANU 57% L'Pool 43% ingekuwa ball possession na "kucheza vizuri" vinahesabiwa kama ushindi, basi leo mngejizolea points zote tatu.

Timu imecheza vizuri tumefungwa kimchezo tu, tena ukilinganisha na game za nyuma utaona liva walikuwa wanatunyanyasa sana walikuwa wanatufunga na kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa sana lakini leo timu imecheza fresh ila tumeshindwa tu kutumia nafasi zilizopatikana
 
Poleni sana kwa kucheza vizuri Mkuu lakini kuondoka uwanjani na ZERO point...Ball possession MANU 57% L'Pool 43% ingekuwa ball possession na "kucheza vizuri" vinahesabiwa kama ushindi, basi leo mngejizolea points zote tatu.

Ha ha ha ha...haya bana...leo umetuweza...vichwa chini.
 
Ndio ukubwa huo Mkuu...Tomorrow is a new day....labda vichwa mtaweza kuviinua tena 🙂

Ha ha ha ha...haya bana...leo umetuweza...vichwa chini.
 
Kawaida hiyo liverpool akiwa anfield dhidi ya man u, huwa anakamia sana.
We still have the whole season to go.

Ggmu!!
 
Agent wa Kagawa kasema bado hana match fitness. Alisema hivyo kujibu speculations zilizoenea kwamba Kagawa anatakiwa kurudi BvB.

Ila tunahitaji Box to box midfielder. Herrera ama Fellaini watatufaa kama wakija.

in the name of father, son & holy spirit; AMEEEEEN!!!!
 
Next EPL 5 games:

Sept. 14 vs. Crystal Palace (H)
Sept. 22 vs. Man City (A)
Sept. 28 vs. West Brom (H)
Oct. 5 vs. Sunderland (A)
Oct. 19 vs. Southampton (H)

These games are crucial in setting up real title race.

#GGMU
 
Nzi,
Last season tulicreate chance nyingi sana za kufunga,msimu huu limekuwa tatizo nashangaa kwa nini Moyes hataki kuwatumia Zaha na Kagawa,I hope Rafael atarudi soon Good thing msimu huu defence imeimprove sana
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tusubiri suprise ya usajili leo,in general timu iko vizuri tatizo kubwa ni kutengeneza nafasi za kufunga
 
Back
Top Bottom