Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Agent wa Kagawa kasema bado hana match fitness. Alisema hivyo kujibu speculations zilizoenea kwamba Kagawa anatakiwa kurudi BvB.

Ila tunahitaji Box to box midfielder. Herrera ama Fellaini watatufaa kama wakija.

Mawinga ndo wanazingua zaidi, hawapigi kabisa cross za maana
 
Mawinga ndo wanazingua zaidi, hawapigi kabisa cross za maana

Diamond formation ya kutumia central midfield ilifanya kazi vizuri sana. Hivyo kama central ipo vizuri, siku wingers wakiwa vibaya, inatoa mbadala. Lakini kwa sasa timu inategemea zaidi wingers ambao wanakuwa off match. Hapo ndipo balaa.

Ila ligi bado mbichi. Tuone hadi kesho kama tutasaini midfielder yeyote.
 
  • Liverpool-v-Manchester-United-Glen-Johnson-Da_2996735.jpg
 
......dahhhh?!!!

Mnajitetea hadi huruma,
Mara wingers, mara diamond...
Jamani ee!.... It is only a game and the "Best" team won!

Kabaaaaang!
 
🙂🙂 BJ & Co poleni sana...Chezeya EPL weye! Namuona BJ ndani ya kiwalo chake cha MANU 🙂 na pembeni chupa ya wine amekuwa mnyonge kupita kiasi.

.....it's lonely and cold here kwakweli,
Eerrie quiet!
 
Not long from now utasikia babu Ferguson anarudi tena kama alivyofanya Paul Scholes
 
Timu si mbaya kama tulivyodhani mwanzo, Wachezaji wamecheza vizuri tumepata nafasi kadhaa tumeshindwa kuzitumia, na wao wamepata nafasi chache wametumia vizuri.

Its just a game ila bado Utd ni timu nzuri tu
 
Haya bana,kunya anye kuku....
 
......dahhhh?!!!

Mnajitetea hadi huruma,
Mara wingers, mara diamond...
Jamani ee!.... It is only a game and the "Best" team won!

Kabaaaaang!

Hakuna cha kujitetea. Huo ndiyo ukweli. Timu inahitaji kuongeza ubunifu katika midfield. Ndiyo maana targets wa timu katika kusaini ni midfielders tu.

Fellaini nasikia keshachukuliwa na United. Herrera bado Athletic wafanya sitaki nataka. Tukimpata Herrera, Kagawa na Rooney wakawa fit, hapo timu itakuwa imekaa vizuri.

Pia kufungwa katika games hizi za kwanza si ajabu kwa United kama unaifahamu United vizuri.
 
Jamani ligi bado mbichiii. Ubingwa bado uko kati ya timu mbili za Manchester may be na darajani. Kuna wale Wengine kutwaa nafasi ya nne ni ubingwa tosha
 
Not long from now utasikia babu Ferguson anarudi tena kama alivyofanya Paul Scholes

United si kama Chelsea ama Man City inavyokuja katika kuhandle managers. SAF took long enough to establish his mark at OT.

I wouldn't expect David to establish his mark and win fans' support for just 3 matches.

I trust moyesRedandWhiteArmy
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! We heard you loud and clear Mkuu Nzi...poleni sana.

Back
Top Bottom