Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!
Juzi mbn alikua uwanjani tena groupwise na alipiga mpira hadi akaanguka! Karantin imetoka wapi?
Huyu tumepigwa
Unadhani ni yanga hao au simba hadi watoe taarifa za uongo au wafiche taarifa za majeruhi ya mchezaji
 
Achaga mambo ya kuropoka bro jifunze kufatilia mambo kwanza, iyo ni sheria maalumu kwa mgeni kukaa quarantine siku kadhaa hiyo utofauti wake ni kwamba haudakwi airport kama walivyokuwa wanafanyiwa huku hostel za magufuli sijui bali ni principle zilizopo kule
Sawa
 
Majeruhi kivipi wakati, ajacheza miezi 7.

Quarantine ni sheria za UK ndio zinataka hivyo.Allex Telles alikuwa na timu, Porto. Ambapo huwa wanakuwa tested mara kwa mara.
Kama Epl wanavyofanya.

Cavan yeye hakuwa na timu yoyote.
Huyu aliumia kitandani
 
De gea - problem
Bissaka -Cant attack
Maguire -Useless
Lindelof - Horrible
Shaw - Good for nothing
Pogba - Forgot football
Matic - slow
Bruno - always waiting for penalties

Rashford-a good player in the wrong team

Martial - plays only when he likes don't forget he slaps people

Greenwood - a talent waiting to be wasted




wasted
IMG_20201007_125108.jpg
 
De gea - problem
Bissaka -Cant attack
Maguire -Useless
Lindelof - Horrible
Shaw - Good for nothing
Pogba - Forgot football
Matic - slow
Bruno - always waiting for penalties

Rashford-a good player in the wrong team

Martial - plays only when he likes don't forget he slaps people

Greenwood - a talent waiting to be wasted




wasted View attachment 1593647
Duuuuh sawa ila aya yote kayataka OGS
 
Nimecheka sana kuna mshabiki sijui ni wa Arsenal? Anajaribu kutu-direspect ila ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna kocha asiyeogopa kucheza na Manchester United regardless ya mwenendo wetu wa sasa. Wengi wanajua pengine tunaweza kuzindukia kwao. Simba hata awe amepigwa risasi za kichwa mara kumi na kaanguka chini bado utaogopa kwenda kuhakikisha kama kafa kweli au bado.
Upo sahihi
IMG_20201008_104214_417.JPG
 
Hapa OGS bye bye,

Pochetino akae mkao wa kula

Man Utd missed out on ALL of Ole Gunnar Solskjaer’s transfer targets this summer including Sancho, Grealish and Ake

The club realised too late they wouldn't get Sancho and ultimately signed two youngsters who will surely have to wait for first-team action

Having missed out on Erling Haaland in January, Solskjaer was determined to spend big and revamp his lacklustre squad.

But, despite a deadline-day panic spree, the Norwegian missed out on every, single one of his top targets.




Kwa maelezo hayo hapo juu wakuu hata aje kocha gani hii timu haiwezi kusonga mbele kwa sababu hawapati wale watu ambao wana uhakika nao.
 
MANCHESTER UNITED UEFA A-LIST SQUAD

Goalkeepers: David De Gea, Dean Henderson, Lee Grant.

Defenders: Eric Bailly, Tim Fosu-Mensah, Victor Lindelof, Harry Maguire, Luke Shaw, Alex Telles, Axel Tuanzebe, Aaron Wan-Bissaka.

Midfielders: Bruno Fernandes, Fred, Daniel James, Jesse Lingard, Juan Mata, Nemanja Matic, Scott McTominay, Facundo Pellistri, Paul Pogba, Donny van de Beek.

Forwards: Edinson Cavani, Odion Ighalo, Anthony Martial, Marcus Rashford.
 
Mbona Brandon William Simuoni hapo?
Au tushatia sokoni.
MANCHESTER UNITED UEFA A-LIST SQUAD

Goalkeepers: David De Gea, Dean Henderson, Lee Grant.

Defenders: Eric Bailly, Tim Fosu-Mensah, Victor Lindelof, Harry Maguire, Luke Shaw, Alex Telles, Axel Tuanzebe, Aaron Wan-Bissaka.

Midfielders: Bruno Fernandes, Fred, Daniel James, Jesse Lingard, Juan Mata, Nemanja Matic, Scott McTominay, Facundo Pellistri, Paul Pogba, Donny van de Beek.

Forwards: Edinson Cavani, Odion Ighalo, Anthony Martial, Marcus Rashford.
 
Mbona Brandon William Simuoni hapo?
Au tushatia sokoni.
Yeye na Greenwood pamoja na U21 wengine hawajumuishwi kwenye A-LIST SQUAD ambayo ina wachezaji wa senior team tu, wao wapo kwenye B-LIST SQUAD kwahiyo kocha akiwahitaji atakuwa anawajumuisha kwenye kikosi chake atakachokichagua kucheza kila mechi na kutuma UEFA kabla ya masaa 24 ili waweze kucheza.
 
Back
Top Bottom