Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
ArsenalHakuna timu inayoogopa kukutana na United kwa sasa mzee,. Manara kasema wanafikiria kuwaleta Simba day ijayo,
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
ArsenalHakuna timu inayoogopa kukutana na United kwa sasa mzee,. Manara kasema wanafikiria kuwaleta Simba day ijayo,
Kina ighalo!Wachezaji wetu wote ni Muhimu ndiyo maana tulimfunga PSG nyumbani kwake wakati wachezaji watano wa first eleven wakiwa majeruhi.
Tuna squad depth kubwa kuliko Arsenal na Totenham mpaka wengine hawapati nafasi ya kucheza.
Kwenye midfield pekee tunawachezaji 10 striking force tuna wachezaji nane.
Sasa hizo risks ni vitu ambavyo haviepukiki uwanjani but tutapata matokeo tunayoyataka.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app




Kwahiyo kwenye hizo mechi utashinda game zote hamaHizo timu zote zinaogopa kukutana na United kuliko united wanavyoogopa kukutana nazo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Tunazungumzia kwa hali ya sasa mliyonayoUnataka kusema katika ligi na mashindano yote hii timu ilikuwa inakutana na wakina Norwich City F.C. tu haijawahi kucheza au kukutana na hizo timu?
Zipo tutakazoshinda, zipo tutakazotoa sare na kwa bahati mbaya huenda zipo na za kupoteza.Kwahiyo kwenye hizo mechi utashinda game zote hama
Tunazungumzia kwa hali ya sasa mliyonayo
SawaMan united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Hata spursSio kuliko Arsenal Tu bali ni kubwa kuliko zote England.


Ubabe wenu ulikuwa kipindi cha Fergie ila kwa sasa mmekuwa utopoloZipo tutakazoshinda, zipo tutakazotoa sare na kwa bahati mbaya huenda zipo na za kupoteza.
Katika Mechi zote hizo United ndiyo anayeogopwa na timu zote hapo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Zamani mwaka gani unazungumziaWachezaj wote wa zamani wameuzwa wamekuja wapya?
Kwani Ferguson alikuwa hafungwi ?Ubabe wenu ulikuwa kipindi cha Fergie ila kwa sasa mmekuwa utopolo
Zamani mwaka gani unazungumzia



huyo jamaa bana anajua mpira uliochezwa na spurs basi kila mech ndio itakuwa formation hiyo hiyoAlikuwa anafugwa ila alikuwa hakosi nafasi ya kushiriki UEFA
Nazungumzia wakati huuKwani ulipo sasa ulikuwa unamaanisha nn?
Nazungumzia wakati huu
Kwani wewe bado unafikiria vya zamani au vya wakati huuKumbe kuna zamani si ndio?