Tangu msimu uanze Ighalo ana magoli mangapi na Nketiah ana mangapi?
Tangu msimu uanze Ighalo ana magoli mangapi na Nketiah ana mangapi?
Mara ya mwisho man u kuifunga Arsenal lini?Anayekumbuka mara ya mwisho Arsenal kushiriki UEFA ilikuwa mwaka gani anisaidie tafadhali
Hapana. Ila kuyataja matokeo inaruhusiwa au?Hivi mashabiki wa Arsenal munaruhusiwa kuishabikia spurs?
Kwanza Arsenal kacheza mechi nyingi kuliko Man united.Tangu msimu uanze Ighalo ana magoli mangapi na Nketiah ana mangapi?
2019 mechi ya FA pale pale EmiratesMara ya mwisho man u kuifunga Arsenal lini?
Hajacheza kwasababu hana uwezo hata kumuanzisha imekua aibuKwanza Arsenal kacheza mechi nyingi kuliko Man united.
Pili Ighalo hajacheza hata mechi moja kwa sababu ya ukubwa wa kikosi.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hehehe kilichofuatia
Mumebaki kama historical sites tuNimecheka sana kuna mshabiki sijui ni wa Arsenal? Anajaribu kutu-direspect ila ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna kocha asiyeogopa kucheza na Manchester United regardless ya mwenendo wetu wa sasa. Wengi wanajua pengine tunaweza kuzindukia kwao. Simba hata awe amepigwa risasi za kichwa mara kumi na kaanguka chini bado utaogopa kwenda kuhakikisha kama kafa kweli au bado.


Kabisa, hawa ni ndugu zetu wa asili,Hivi mashabiki wa Arsenal munaruhusiwa kuishabikia spurs?

Mkuu bado unaweweseka tu?Timu yao hawaiamini hao ndio wale wanahamahama kichapo cha goli 8 bado kinawatesa waliomba sana spurs awasaidie ujue
Yaan watu waogope kucheza na Man u hii beki Maguire na Lindelof?Nimecheka sana kuna mshabiki sijui ni wa Arsenal? Anajaribu kutu-direspect ila ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna kocha asiyeogopa kucheza na Manchester United regardless ya mwenendo wetu wa sasa. Wengi wanajua pengine tunaweza kuzindukia kwao. Simba hata awe amepigwa risasi za kichwa mara kumi na kaanguka chini bado utaogopa kwenda kuhakikisha kama kafa kweli au bado.
Nikama tanavyo enda kuangalia mapango ya amboni.Mumebaki kama historical sites tu![]()
Kwenu anacheza yule na atatupia, unajua man u ni presha sn.Hajacheza kwasababu hana uwezo hata kumuanzisha imekua aibu
Beki wa Arsenal Gabriel ana goli huyo bwana hana halafu una imani hiyo siku atascore? Mechi yenyewe mnakufaKwenu anacheza yule na atatupia, unajua man u ni presha sn.
Huyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!★Edinson Cavani won't be available to make his debut for United in their next game against Newcastle.★
manutd |View attachment 1593367
★
Huyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!
Juzi mbn alikua uwanjani tena groupwise na alipiga mpira hadi akaanguka! Karantin imetoka wapi?
Huyu tumepigwa