Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Edinson Cavani: "I have two years of a contract with MU. I want to give it my all here. I feel good."
"It will give me great pride to wear the no.7 shirt for MU. Now I am going to prepare for this responsibility, do my best to be ready and enjoy it and I hope to make my mark at Manchester United.".★

manutd |
IMG_20201007_004300_190.jpeg
 
Huyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!
Juzi mbn alikua uwanjani tena groupwise na alipiga mpira hadi akaanguka! Karantin imetoka wapi?
Huyu tumepigwa
Achaga mambo ya kuropoka bro jifunze kufatilia mambo kwanza, iyo ni sheria maalumu kwa mgeni kukaa quarantine siku kadhaa hiyo utofauti wake ni kwamba haudakwi airport kama walivyokuwa wanafanyiwa huku hostel za magufuli sijui bali ni principle zilizopo kule
 
Wew ndy hufatilii, huo utaratibu naujua, umeangalia alipokuwepo juzi?
#137,555 Kwenye hiyo post alikuwa peke ake?
 
Wew ndy hufatilii, huo utaratibu naujua, umeangalia alipokuwepo juzi?
#137,555 Kwenye hiyo post alikuwa peke ake?
Unaelewa kitu gani unapoambiwa principle bro ndomana mwanzo nikakwambia kwamba haudakwi kama huku kilichopo kule ni kwamba quarantine ni principle kukaa kwa mgeni sasa hushikiwi fimbo ila wakija kugundua hujawahi kukaa quarantine basi hatua za kisheria zitakuhukumu, kuwepo juzi na wenzake mazoezini sawa inawezekana kwa sababu hakushikiwa fimbo kama huku kwenu
 
Huyu itakua ni majeruhi tayar sema imefichwa!
Juzi mbn alikua uwanjani tena groupwise na alipiga mpira hadi akaanguka! Karantin imetoka wapi?
Huyu tumepigwa
Majeruhi kivipi wakati, ajacheza miezi 7.

Quarantine ni sheria za UK ndio zinataka hivyo.
★Me mwenyewe nashangaa afu chaajabu Telles atacheza yeye sjui Quarantine haimuhusu wakati wamekuja wakati mmoja [emoji37]★
Allex Telles alikuwa na timu, Porto. Ambapo huwa wanakuwa tested mara kwa mara.
Kama Epl wanavyofanya.

Cavan yeye hakuwa na timu yoyote.
 
★Na hao ma dogo wawili nao itakuwaje??? Ama nao Quarantine??★
Majeruhi kivipi wakati, ajacheza miezi 7.

Quarantine ni sheria za UK ndio zinataka hivyo.Allex Telles alikuwa na timu, Porto. Ambapo huwa wanakuwa tested mara kwa mara.
Kama Epl wanavyofanya.

Cavan yeye hakuwa na timu yoyote.
 
Mumebaki kama historical sites tu[emoji23][emoji23]
Are you serious? Mara ya mwisho sisi tumebeba EPL ilikuwa mwaka 2013. Kwa kuangalia picha uliyoweka ktk utambulisho wako utakuwa ni mshabiki wa Arsenal, kumbu kumbu zinaonyesha nyie mmebeba kombe la EPL mwaka 2004, Je ni nani hapa anafaa kuwa labelled historical site?
 
Back
Top Bottom