Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na wewe unafanyaje hapa? Yaani unaambiwa sory dada yako chizi na wewe utakubali tu et eee bila hata kupewa sababu za maana
Hakuna ulazima wa kupewa sababu inabidi uthibitishe mwenyewe kuwa dada yako ni chizi
 
Jibu swali kwanza

Nilikuuliza sababu za united kufanya vibaya wachezaj walioshinda msimu uliopita mech nyingi hawapo? Halafu unaniambua nijibu swali mantiki yangu timu iliyopo mwaka jana ikapiga wakubwa kibao hajaondoka hata mmoja kufungwa na spurs ndio uje na utabir wako hapa mbona kama unaleta utabir hewa? Kwa hiyo everton ndio bingwa wa Epl kwa kuwa hajapoteza mech?
 
Sawa
giphy.gif
giphy.gif
Hivi mashabiki wa Arsenal munaruhusiwa kuishabikia spurs?
 
Nimecheka sana kuna mshabiki sijui ni wa Arsenal? Anajaribu kutu-direspect ila ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna kocha asiyeogopa kucheza na Manchester United regardless ya mwenendo wetu wa sasa. Wengi wanajua pengine tunaweza kuzindukia kwao. Simba hata awe amepigwa risasi za kichwa mara kumi na kaanguka chini bado utaogopa kwenda kuhakikisha kama kafa kweli au bado.
Arsenal baada ya kushinda hizi mechi mbili wako kwenye furaha ya ajabu kama mtoto kala vitumbua

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hawa ni mashabiki wa timu ndogo ndogo hivyo wanakuja huku kutoa stress zao baada ya kutumikia vichapo kwa muda mrefu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Anakwambia tunajifariji tukisema sio kweli kwamba yeye ana maono na anajua balaa anachoongea ndio kina ukweli ila sisi ni waongo msimu ulioisha Big Sam aladyace alitabiri united anashuka daraja lakini yule top 4 wao waliangalia mech 4 tu za mwanzo wakatoa maono kama ya jamaa kilichofuata anakijua
 
Eti Arsenal wanakuja kutoa ushauri kwenye jukwaa la United ? Hiki si kichekesho?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom