Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hahaha so unajisikiaje mnavyoshindwa kuutilize hiyo squad?

Hahaha squad kubwa ilikua na striker mmoja tu, ikamuuza, ikahangaika kutafuta striker ikamleta Ighalo, hajaperform kaja Cavani.

Kwanini hamkuchomoa ST mmoja kutoka kwenye squad depth yenu. Hii imani uliyonayo ni kubwa sana ila inapingana na ukweli
 
Man united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Arsenal ina Lacazette ambaye kascore kila mechi ile mechi na Liva akakosa chansi mbili za wazi mechi iliyofuata akala benchi.

Ina Pepe, kushindwa kucut in na kuscore kunamuanzisha nje.

Xhaka, mpiga pass na stabilizer wa timu aliunderperform game na Liva iliyofuata akatokea benchi.

Nyinyi mna maguire makosa yaleyale kila siku mkampa na ukapteni.

Mna Rashford anakosa chansi 4 za wazi anapata moja mechi inayofuata anaanza.

Kuna Pogba akawa miyeyusho dressing room, ole akampigia magoti.
Mna squad depth kweli?
 
Hahaha so unajisikiaje mnavyoshindwa kuutilize hiyo squad?

Hahaha squad kubwa ilikua na striker mmoja tu, ikamuuza, ikahangaika kutafuta striker ikamleta Ighalo, hajaperform kaja Cavani.

Kwanini hamkuchomoa ST mmoja kutoka kwenye squad depth yenu. Hii imani uliyonayo ni kubwa sana ila inapingana na ukweli
Ighalo hajaletwa kuwa Main striker na Ameperform kwenye makombe madogo ambayo amekopwa aje acheze huko. Ndio maana hata mkataba ulivyoisha akaongezewa muda.

Na usikariri role ya No 9 kuna namba tisa kibao, kuna poacher, target man, false 9, Teraquista etc

Kipindi cha fergie tulikuwa na namba 9 hata watano kila mmoja ana qualities zake tofauti, hivyo timu inaweza ikawa na 9 watatu na Bado ikasajili mwengine kutokana na mfumo kocha anaotaka mwenyewe.
 
FB_IMG_1601978258694.jpg
 
★Ronaldo
Rooney
Cantona

Manchester United’s best XI of the Premier League era

What would you change?

#GGMU

manutd |
IMG_20201007_132929_360.jpeg
 
Mourinho on Solskjaer: "I feel sympathy for the result, but apart from that no sympathy because he has an incredible job and it feels like the players like him, they are with him.

"It's not a defeat that is going to destroy them."

@manutd
IMG_20201007_132729_211.jpeg
 
Sidan kama makosa aliyofanyaga Marcos Rojo yamefikia ya Magwaya...tunahangaika wee hatuna beki ....tumjarib Rojo
Game 1....Rojo vs Baily
Game 2....Rojo vs Maguire
Game 3....Rojo vs Lindelof
Game 4...Baily vs Lindelof
Nk..n.k
Nna uhakika tutakua tushajua ni combo ipi ipo vizuri,ipi mizinguo.
Hata Guardiola ndo style anayoitumia,hakuna beki ya kati yenye uhakika wa namba,ndo maana huwa wanakamua,japo sumtym wanazingua lakini sio makosa ya kujirudia
 
Back
Top Bottom