Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Wanaopaki basi ni hawa:
Ratiba ya UCL hatua ya makundi.
Wanaopaki basi ni hawa:
Leo wote wapo kimyaaaa......salaam aleykum BelindaJacob, salaaam aleykum Belo, salaam aleykum Manda, ndugu, jamaa na marafiki wa Man United!...
...Wamejificha saa hizi wanachungulia kwa mbaliiii..... BelindaJacobs & Co where are you!? We miss you 🙂🙂🙂
Nipo hiki kikosi Moyes atakuwa anapangiwa na Giggs,Kagawa hata benchi hayupo
Huyu young kazoea bench
......hehe,
Kumbe upo?!
Haya, fungua maombi!
Nipo hiki kikosi Moyes atakuwa anapangiwa na Giggs,Kagawa hata benchi hayupo