The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Utd will never Walk Alone
Walidhani tumewasahau
Untd will walk with livaseven-upUtd will never Walk Alone
Hadi raha popote kambi mpaka wiki hiishe mamaeeeeYaani leo raha sana unakiwasha huku ukichoka unahamia kule kwenye KUKU chotara
Kumlaumu Woodward ni kumuonea tu saivi. Jamaa ametumia hela nyingi kununua wachezaji ambao walikuwa talent kabisa. Ishu ilokuwepo ni kocha, ukweli usemwe tu, ni MBOVU hajui analolifanya uwanjani wala analotaka. Wachezaji alokuwa nao ni wa kuhakikisha ushindi na kufungwa ni bahati mbaya tu. Watu wanajichezea tu uwanjani watakavyo na kocha anatizama tu.Jamani hakuna haja ya malumbano, mtu anayeharibu furaha yetu ni Ed Woodward hata aje kocha gani pale Manchester United bado nyumba imeoza ndani. Hii nafasi ya Ed inahitaji mtu smart sana anayeweza kujenga timu nzuri pasipo kuwaza kutumia pesa zaidi. Ed ndiye mtu responsible ku-assemble talents zote from coaching staffs to recruitment team, sasa unapokuwa na mtu mwenye uwezo mdogo kuunganisha hivi vichwa vifanye kazi kwa ufasaha ni shida. Hata akiajiri director of football as long as ana-report kwake ktk chain of command bado ni kazi bure.
Kama kuna watu ni wapenzi wa mpira wa kikapu utaona kuna mtu yupo Toronto Raptors anaitwa Masai Ujiri jinsi anavyoitendea haki ile nafasi yake ya u-rais wa timu ile ni same model hata football executive anaweza akawa ana-manuvre timu yake kwa akili kubwa pasipo kutumia pesa sana ktk usajili. Timu hujengwa kwa mikakati na sio taswira ya kibiashara sana. Pesa huja ukianza kufanya vizuri. Uunganisha kwanza talents (coaches & recruitment teams) zinazoweza kuleta wachezaji sahihi na kwa wakati sahihi na sio kuwa watu wenye ufikiri finyu na sio ajabu sokoni tunatangaza nia na hatuwezi ku-strike deal hata moja.
Hehehehehe hiyo haichekeshi tena watu wako bize na 7up
Hapana hata 6 nayo ni nambaHehehehehe hiyo haichekeshi tena watu wako bize na 7up
Mr Drmian pole sana Chifu kwa kichapo cha leo. Ed Woodward mna mpango gani naye pale Man U? maana naona yuko kimaslahi tu wala haguswi kabisa na hali ambayo timu yenu inapitia Chifu.Yaani imefika muda Maguire anazidiwa hadi utulivu na Tyrone Mings wa Villa
Ama kwa hakika £85m is down the drain
City Kala 5Hapana hata 6 nayo ni namba






Ndugu yangu yametimia kwa hii coment yakoMourinho is going to show why he is the greatest manager of all time bar SAF
Arsenal tumeshamzoea yeye atakaa hiyo nafasi goli 8 zinamuhusu kutoka kwa man cityCity Kala 5
Utd kala 6
Liver Kala 7
Arsenal ajiandae![]()