Big Up kwa kuliona hili mkuu..Jumanne ktk comment yangu #136,087 nilimwambia hiki kitu Darmian
Darmian,
Ubingwa kumpa Liverpool bado mapema sana, japo ndio timu pekee katika kubwa walio serious zaidi. Mechi mbili zijazo kwa Liverpool zinaweza kuwapandisha morali au kuwashusha. Mechi ijayo wataenda Villa Park kucheza na Aston Villa hawa ni sawa na farasi mweusi asiye angaliwa na wengi kwa hiyo hawachezi kwa presha ila kiukweli wapo moto sana, wamecheza mechi nne msimu huu wameshinda zote ya mwisho walimfunga Wolves kwake 3 bila.
Baada ya Aston Villa wataenda mji wa Walton pale pale Liverpool kucheza na Everton, kwa form ya sasa ya Everton wakishinda pale Goodison Park basi Liverpool confidence yao inaweza kuwa juu mno ktk mbio za ubingwa ila wakianza kwa kufungwa inaweza kubadili hali yao ya kujiamini pia.
Ed woodward kosa lake ni kukubali kuwa na benchi la ufundi lenye uwezo mdogo..apart from that sioni shida yake kubwa..Kama hela zishatoka sanaMr Drmian pole sana Chifu kwa kichapo cha leo. Ed Woodward mna mpango gani naye pale Man U? maana naona yuko kimaslahi tu wala haguswi kabisa na hali ambayo timu yenu inapitia Chifu.
Sawa sawa Mkuu, so unadhani hili tatizo halionagi mda mrefu tu? na kwanini ashindwe kutumia plan B kama plan A ilishafeli na inaendelea kufeli hadi hivi sasa?Ed woodward kosa lake ni kukubali kuwa na benchi la ufundi lenye uwezo mdogo..apart from that sioni shida yake kubwa..Kama hela zishatoka sana
Mm kama Chelsea, nachangia laki mbili kwa ajili ya mazishi
Arsenal tumeshamzoea yeye atakaa hiyo nafasi goli 8 zinamuhusu kutoka kwa man city





Labda kocha asiwe Arteta , mumfunge Arteta 8 mnaumwa nyieArsenal tumeshamzoea yeye atakaa hiyo nafasi goli 8 zinamuhusu kutoka kwa man city
What???Ed woodward kosa lake ni kukubali kuwa na benchi la ufundi lenye uwezo mdogo..apart from that sioni shida yake kubwa..Kama hela zishatoka sana
Mhhh..siyo kwa kichapo hiki ..dadeki 6-1 wametulaza na viatu!
Ateta ni kocha bora zaidi ya Klopp? mpira unadunda Aaron, tunza sana akiba ya maneno ndugu yangu.Labda kocha asiwe Arteta , mumfunge Arteta 8 mnaumwa nyie
PoleniMhhh..siyo kwa kichapo hiki ..dadeki 6-1 wametulaza na viatu!
Labda kocha asiwe Arteta , mumfunge Arteta 8 mnaumwa nyie
Mngeshinda nyie , kwan CV ndio inacheza ,hao wanafunguka wameshaamini ligi ni zao. Kumbe watu wamebadilikaKlopp,,, pep na arteta nani mwenye cv kubwa? Toka mshinde masinia na birika mnamaneno nyie daaa
Ni average player tu, hivi huyo kamfikia hata Theo walcoth ?Ila wakuu tuache utani huyu Greenwood atakuja kuwa vizur sana