Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unatumia mfumo usiokupa matokeo, hiyo ni akili?

Wewe umefaidika nini na mfumo wa Ole?
Kwa takwimu za last season,, ole bado alikuwa bora kuliko hao wengine,,
Tatizo ni a break after covid every thing has changed..
Sijuwi shida nn?man u
 
Yataisha tu wazee! Ila sijui kama kumfukuza OGS kutatusaidia. Maana mpaka lini tutaendelea na timua timua ya makocha? Tunahitaji stability kwenye ngazi ya ukocha. Tuvumilie tu.

Ila utawala chini ya Bwana Edo nao ucheze nafasi yake vyema. Donny van de Beek ni sawa, ila tunahitaji zaidi uimara wa backline.

Tupige moyo konde. #GGMU
 
Daah bora ya wewe SteveMollel umezungumza, pale hatuna kocha ila nashangaa Woodward na bodi yake hawalitambui hili?

Kumfunga Crystal Palace/Totenham ni mpaka tusajiri Sancho kweli?
 
Mkuu Man U ina matatizo lukuki.

Kocha, ni *tip of an iceberg*
 
United is too big for OGS

He is not the right manager to stabilize United

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
PTER tatizo la utd ni kocha, wachezaji wengi pale utd ni wazr japo wanazidiana, tukae humo mkuu.
We amini kuwa tatizo la united ni kocha lakini mimi naamini siyo kocha.

Kuna maeneo kocha ana mapungufu yake lakini siyo kwa mechi kama ya leo.

Solkjaer hajamwambia Maguire akamkabe Shaw goli la kwanza na la pili, la tatu na la nne yote yametokana na sloppy defending ya captain wetu.

Kocha alikosea kumwanzisha Bailly na Maguire ni strong but careless defenders mara nyingi defenders wanaofanya tackles nyingi huwa wanakuwa careless hasa kuwa off position au wrong timing.

This is what happened kwenye defence yetu ilikuwa ni lazima tufanye tackling ili kupata mpira that means defence ilikuwa off position au ilikuwa inafanya wrong timing.

Kwenye Midfield yetu kulikuwa na shida pia Matic was not in form lakin Pogba hakuwa sawa sawa pia always ukitaka kushinda dhidi ya united weak Link ni Pogba kwa sababu ana overconfidence but ni careless this time inachangiwa na kukosa match fitness.

Kwenye fullback tulikuwa hovyo kuliko kawaida fullbacks zetu alicheza ndani sana hivyo tukawa pinned kwenye box letu na hata zilipokwenda kushambulia hatukuweza kuwa na uwezo wa kuretain mpira kwenye final third yetu walau kwa dakika moja this was a weakness.

Kuna mengi ya kusema lakini mara nyingi mashabiki huwa tunaangalia upande unaotupa furaha.

Kiukweli partnership ya Bruno na Pogba ilikuwa fluke tu na ilikuwa exposed kuanzia game yetu na Southampton tuliyotoka 2-2.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…