Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yan Tot wameamua kuhadithia jinsi goli lilivyo'bang'iwa!
IMG_20201004_191557_022.jpg
 
Usenge kweli hii timu sijawahi kuona beki mbovu kama hii
Si kitasa wenu Bailly yupo ndani ?

Lindelof huwa anaficha makosa mengi sana ya Harry Maguire sema mlishaamua kumtwisha mzigo wa lawama tu.

Two 4 errors leading to a goal in 20 minutes angekuwepo Lindelof angeclear hayo makosa.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Aisee napata kitu hapa kweli yawezekana tunakapa lawama za bure kichwa kikubwa anaponea kwa victor
 
Half time, camera zinamuangaza OGS usoni, to be honest namuonea huruma sana, kapewa timu kubwa kuliko uwezo wake, yaani kabebeshwa gunia la misumari hivi

Interview ya juzi kawajibu wandishi wa habari haitaji beki, anadai anaimani na mabeki alionao, sasa na hizi blanda za kina maguire leo sipati picha pressure atakayopewa na media za UK

Japo kwa game ya leo sina tatizo na OGS ila timu apewa fundi Marcelo Bielsa au Father Carlo Ancelot asubuhi hii, kuendelea kumvumilia OGS ni kujikosesha Top4
 
Back
Top Bottom