Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu maguire tumepigwa kwa ile bei, martial anafahamu tupo nyuma 2-1 analipitizia kiwiko, hahahahahh daah kuipenda man utd kipindi hiki inaitaji ustamilivu ila ndio timu yetu

Kwa leo wachezaji ndio waliozingua, OGS kwa leo hana kosa japo naye ana madhaifu yake
Aaaggghhhh Sisi hatujui bhana
 
Kitakachofuata hapo baada ya kipigo hiki na kwakuwa dirisha linafungwa jumatatu basi kutakuwa na panic buy
Evra kasema ukweli kuhusu hii timu, pia anadai ma'legends wenzake wanashindwa kuchana mapungufu ya timu bcoz they expect ajira 1day

Man utd hii ni Utopolo mtupu, mpeni timu fundi Marcelo Bielsa atutue mizigo pale
 
Back
Top Bottom