The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Martial ana nyota ya kupendwa hata mm ilinichukua muda mrefu kuamini kwamba hana lolote, jamaa yng mmoja kila akiniambia hamna kitu mule nikawa nakataa akaniambia anza kumfuatilia angalia movement zake angalia anavyopoteza mipira kirahisi, zen angalia anavyokosa magoli.Wachambuzi maandazi pekee ndy wanaomtetea martial,,
Martial ni mchezaji mzuri,,,ni mfungaji pia,,lakini anakuwa bora kabisa akitokea pembeni,,,
Pale no 9 zina wenyewe, watu wa kazi,,,,,ndy maana ktk prediction yangu ya ma u,,huwa namuweka kama left wing...ni hatari sn akiwa upende ule,,martial ni mmoja wa wachezaji ninaowapenda kabisa man u,lakini kwa no 9 atatukosesha makombe..
nimepost hapo chini epl wise, nimepost misimu mitatuUnaweza tupa link ya statistics kuwa Martial anaongoza ulaya
Hakika kabisa mkuu,,martial alianza kupata mashabiki kipindi kile anakuja man u,,vyombo vya habari vilianza kulaumu sana man u kwa kumnunuwa martial akiwa na 19 kwa 56 milionl paunds,,wanasema ni pesa nyingi sana kwa kinda kama martial,,Martial ana nyota ya kupendwa hata mm ilinichukua muda mrefu kuamini kwamba hana lolote, jamaa yng mmoja kila akiniambia hamna kitu mule nikawa nakataa akaniambia anza kumfuatilia angalia movement zake angalia anavyopoteza mipira kirahisi, zen angalia anavyokosa magoli.
Baada ya hapo nikaanza kumfatilia nikagundua maneno ya Roy Keane juu ya Martial ni kweli kabisa na tangu hapo ckuwa namuelewa kabisa yn Martial hapaswi kuanza kikosi cha Utd ni lazy boy sn.
Duuuu!Pengine ighalo ana 45 ...
Cavani 33
Wachezaji wa Africa cheating karega...Duuuu!
Mimi ni Shabiki wa Manchester United, kama timu.Naona mashabiki wa martial mnavyojifariji....yaani uende vitani na manati uwache K 47 Jeshi la akiba?
Ole hana akili hizo,, lengo la kutafuta striker ni kwamba martial is not good enough ..
Labda nikuulize martial alifunga goli ngapi za kichwa? Msimu mzima,,
Martial ukimbana kwenye njia hana maajabu,,,
Cavani popote utafungwa...cavani ni kama ibrahimovic ,,je alipokuja man u alilikuwa na umri gani?
Je akina martial walifunga magoli mangapi?
Kama ibra hakuwa top scorer kwa club ya man u..
Cavani sio back up ya martial,, bali martial ndy back up ya cavani..
Mbona zishafutika siku nyingi sana pale, kwani bado zipo!?Zinazowafanya muone man u haina natutal 9
Impact itakuwepo ila si ya kiwango kilichotegemewa.Kwanza Man united haichezi mpira wa kupiga cross cause haina wingers na full backs wake siyo wapiga cross.
Pia Mwalimu ana prefer kucheza na kutengeneza magoli centrally.
Kwa vyovyote vile usajili wa Cavani hautakuwa na impact yoyote kwa sababu hatapata service sahihi from both flanks.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
YeahImpact itakuwepo ila si ya kiwango kilichotegemewa.
Kwa hyo kushabikia Man City si ajabu sana ama!Mkuu usitumie nguvu nyingi, ni kwamba shabiki wa utd anaweza kushabikia tm yyte ile duniani kasoro akishabikia hz tutamshangaa sn[emoji116][emoji116][emoji116]
Arsenal
Barcelona
Chelsea
Na kule England ni Liverpool yn mwiko kabisa.
Mm mwenyewe ni man u ila Leeds naipenda tangu enzi za Ferdinand, Radebe, Kewell, Smith and Viduka.
Ukizingatia ugumu wa EPL na umri wa Cavani halafu kasajiliwa kwa two years.Huyu Cavan tunavyomuelezea impact yake utadhani ni Cavan yule mwenye miaka 25 hadi 30 hivi
Hiki kitu hata mimi nashangaa.Huyu Cavan tunavyomuelezea impact yake utadhani ni Cavan yule mwenye miaka 25 hadi 30 hivi
Hata ibrahimovic alivyokuja aliletwa kama back up,,.mwisho wa siku martial akarudisha jezi namba 9..Mimi ni Shabiki wa Manchester United, kama timu.
Na support wachezaji wote na Cavan akija vilevile
Nimetoa sababu kwa nini nasema Edson Cavan amesajiriwa kama back up(option two).
Injuries plus age, lazima awe managed vizuri (kucheza mechi chache).
Kama wew unadhani Cavan ndio atakuwa 1st no9, sio mbaya ni maono yako.
Na ikiwa hivyo, poa tuu.Muhimu ManU ifanye vizuri.
GGMU.
Age aren't nothing but a number..Huyu Cavan tunavyomuelezea impact yake utadhani ni Cavan yule mwenye miaka 25 hadi 30 hivi