Huna kocha.Manchester united kuwa kwenye kundi gumu sioni kama tunaweza kufanya vibaya wachezaj tunao tena wa maana tu kwamba Rb Leipzig wana watu wa maana kutushinda sisi?
Psg ubora wao upo kwa mbape na neymar na tushacheza nao kila mmoja alishinda mech moja kwa mwenzie na tukamtoa ki msingi nidhamu ya mchezo na mbinu tu
Martial anafunga lakini sio completed no 9..unasema martial anakosa magoli? kuna weakness za martial ila sio kukosa magoli, ndio striker mwenye accuracy kubwa kama msimu wa tatu mfululizo kuanzia kipindi cha mou. si Hazard, aguero, vardy ama Kane ambae ana accuracy kumshinda yeye.
Kocha wa leeds ni wakufundisha hii timu
Kwamba mshabiki wa Man U anaiunga Mkono leeds?
Man u hata corner hapati?Kwanza Man united haichezi mpira wa kupiga cross cause haina wingers na full backs wake siyo wapiga cross.
Pia Mwalimu ana prefer kucheza na kutengeneza magoli centrally.
Kwa vyovyote vile usajili wa Cavani hautakuwa na impact yoyote kwa sababu hatapata service sahihi from both flanks.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu sihitaji kuangalia You tube highlight kujua ubora wa Ednson Cavani.Man u hata corner hapati?
Cavani bila cross na anakufunga..
Ingia you tube umwangalie cavani aina ya magoli anayofunga..
Sipendi kuwa na expectations kubwa juu ya Cavan.Cavani sio mtu anayetegemea cross pekee ndo afungue, atafit sana kwenye mfumo wa kocha kwa sababu ni finisher mzuri kila angle anayokaa kwa upande wangu mimi, mfumo wowote pale man u unaohitaji huduma ya no9 cavani anafit
unasema martial anakosa magoli? kuna weakness za martial ila sio kukosa magoli, ndio striker mwenye accuracy kubwa kama msimu wa tatu mfululizo kuanzia kipindi cha mou. si Hazard, aguero, vardy ama Kane ambae ana accuracy kumshinda yeye.
Wakati wanamuuza Lukaku wakasema Martial ndo atakayechukua nafasi.Martial anafunga lakini sio completed no 9..
Striker gani anapiga kichwa kafumba macho?
Striker anaogopa kujirusha?
Striker hapambani ?
Kama ni kufunga hata Fernandez anafunga nae ni no 9 ?
Mo sala anafunga sana nae ni 9 ?
Martial hana sifa kamili za center forward kama Kane,cavani,Diego Costa.lewandosky,,
Hebu nihesabie ktk magoli hayo aliyefunga martial ni magoli mangapi kafunga kwa kichwa?
Sasa striker gani hapigi kichwa?ukimzuia kupiga basi goli hakuna,,
Sifa ya no 9 kwanza mzuri kwa header,,na kushoot..
Kona utafungwa na faulo utafungwa..
Mkuu cavani hategemei wings... Kwakuwa umekuja kubishana na sio fact,basi endelea kubishana,,wakati wachezaji wakubwa kama Luis saha,van persi wote wamepongeza ujio wa cavani,, endelea kubishana mkuu..Mkuu sihitaji kuangalia You tube highlight kujua ubora wa Ednson Cavani.
Hata nikiangalia nilichokisema hakitabadilia ni mchezaji anayehitaji service sana kutoka kwenye wings
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ole hana tatizo kubwa sana kulinganisha na waliopita.,tatizo lake ni mfumo aliokuwa anautumia,,,akaona lukaku ni mzito,,apewe majukumu martial,,Wakati wanamuuza Lukaku wakasema Martial ndo atakayechukua nafasi.
Inamaana benchi halikujua udhaifu wa Martial wakampa hayo majukumu?
Ndo maana nasema kila siku, kocha hakuna. Ana bahatisha.
Kocha mwenye akili na uwezo hawezi fanya anachofanya Ole.
hii ndo point mkuu na hakuna kinginePigeni kelele tu ila kocha hakuna mule......hamasa na morali imeshuka mno hata akisajiliwa messi
Same as me, ila sipingani na nguvu atakayoiongeza kwenye kikosi, maana msimu mzima unakua na injuries kwa key players na changamoto nyingine nyingi, kwa hiyo ujio wake sio wa kubezaSipendi kuwa na expectations kubwa juu ya Cavan.
Miezi 9 ama 10 to be exact, cavani alikuwa Free kudiscuss mkataba toka january.Tulisema kumuuza Lukaku Kwa kisingizio sio dynamic striker lilikuwa kosa kubwa sana now replacement wamekuwa Ighalo toka China+ 34 years Cavani the good thing OGS ndio in charge makocha waliopita walitukanwa kufanya decision kama hizi
Sina tatizo na Cavani United ilipaswa kupata striker kama yeye au Mandzukic kabla ya kumsajili Ighalo maana hakuna alichofanya tangu amesajiliwa
Kuna tatizo kubwa kwenye timu yetu Cavani alikuwa free miezi karibia 3 lakini tumesubiri bado siku 3 usajili ufungwe ndio tunamsajili na hatujasajili wachezaji kwenye nafasi za muhimu mpaka sasa