Natumia canal+★AZAM wanaonyesha channel 206★
Natumia canal+★AZAM wanaonyesha channel 206★
Baily hahahaha1st goal. MctominayView attachment 1586138
SANA POGBA ANAANZA KURUDI, MATA ANA AKILI SANA YA MPIRA, LINGARD NI NOMA SANA HUYU DOGO. NDIO MAANA MOU ANAMTAKA SANA.Eric bailly naweza kusema ndo beki bora kwa sasa kwa hawa tulionao jamaa anakamua ile mbaya huyu donny van de beek sio mbaya ni mzuri ana macho ya pasi za mwisho sana nadhani ni wakati muafaka aanze tuone bruno anaweza pumzika maana Pogba kwa game anayocheza leo yupo vizuri sana
Hiyo assist aliyotoa Van de Beek inataka kufanana ya Chama kwenye mechi ya simba na Gwambina ,, sema tu hii ya van de beek hajatumia nguvu sana,,2nd goal. MataView attachment 1586191
Yqaani umbea Wa kimalaya tena wa kibakaji, barca wanabaka habari. Man utd is not stupid club, most of news are fakeHaiwezekani!!!!
Eric bailly naweza kusema ndo beki bora kwa sasa kwa hawa tulionao jamaa anakamua ile mbaya huyu donny van de beek sio mbaya ni mzuri ana macho ya pasi za mwisho sana nadhani ni wakati muafaka aanze tuone bruno anaweza pumzika maana Pogba kwa game anayocheza leo yupo vizuri sana
Mkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.Dalot ni mzigo..hamna kitu,,aondolewe kikosini..hata leo ilibidi asicheze maana waliokuwa wanamtaka wanaweza kuahirisha
Well done Brandon,Bailly na Mata
Kushare mshahara???? No
Dah aiseeSANA POGBA ANAANZA KURUDI, MATA ANA AKILI SANA YA MPIRA, LINGARD NI NOMA SANA HUYU DOGO. NDIO MAANA MOU ANAMTAKA SANA.




Huyu Don bado wenzie hawajamwelewa ana vipasi flani hv vya ajax huwa anajisahau anadhani yupo na wenzake wa ajax kumbe wenzake wapo slow na huwa wanajisahau2nd goal. MataView attachment 1586191


Usiwe shabiki mandazi ndugu yangu mpira hauongelewi ivyoDalot ni mzigo..hamna kitu,,aondolewe kikosini..hata leo ilibidi asicheze maana waliokuwa wanamtaka wanaweza kuahirisha
Well done Brandon,Bailly na Mata
Kwa navyoona mimi hamna kitu kipya anachoweza kutuoffer..nilishamfanyia assessment yangu tokea kipindi cha Mourihno'...hakuna haja ya kulundika under-performed players kwenye kikosi chetuMkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.