wazee wa rebuild watakwambia sisi kocha wetu hajakaa muda mrefu tumpe muda....PTER muda huu nimetoka kuangalia highlight kati ya juventus na sampdoria.....
nimemuona aron ramsey akiwa amezaliwa upya eneo la midfield (free role)
Kulusevski, rabiot, Weston mckennie.
andrea pirlo ameanza vizuri
=====
nimeiangalia ratiba yetu ya ligi kuu kwa mechi zijazo, tusipobadilika kiuchezaji tunaweza kupoteza alama nyingi sana.wazee wa rebuild watakwambia sisi kocha wetu hajakaa muda mrefu tumpe muda....
mkuu mbona toka msimu uliopooita tulikuwa tunacbeza vibaya akajificha kwenye hoja ya rebuild msimu huu kaja na hoja ya uchovu ila mbivu na mbichi zitajulikana labda bahati imbebe ila ile quality ya kocha yenye kuamua baadhi ya game imemshinda game nyinginimeiangalia ratiba yetu ya ligi kuu kwa mechi zijazo, tusipobadilika kiuchezaji tunaweza kupoteza alama nyingi sana.
Ole bado amejificha kwenye hoja ya uchovu (ngoja tuone pengine yupo sahihi)
Hivi Dylan Levit na James Garner wangebaki wangecheza nafasi ipi kwa midfield iliyopo ?Ni kweli mkuu so solskjaer hajatimiza ahadi yake ya kutumia na kuibua academy players sindiyo? Maana kwa hawa Greenwood,Mengi,Gomez,Chong,Levitt na garner, Hannibal ndio the best academy players ila ni greenwood tu amepenya sababu hakuna mtu anayederiver pale no 7 pia wengine ndo wameondoka na wengine kwa mkopo....(Hannibal hupo academy huyo ni too early kumpa nafasi)nimemtumia kutaja kipaji chake
Babu, kama kungekua kuna uwezekano wa kutoa Like nyingi, basi ninge kupa hata mia.
Mkuu ulichokiongea ndio kweli tupu, sema kuna watu wanaona fahari kubadili makocha kila siku, bila kujua kila kocha anae kuja, maana yake tunaanza upya.
Laiti tunge kuwa na CEO mwenye chembe chembe za soccer tusinge fika hapa.
Tatizo la timu yetu sio kocha wala wachezaji (hao wanatolewa kafara tu)
Ivi kuna mtu anashaka na uwezo wa LVG, ama Morinho?
Sisi tuzingatie tradtional football yetu pass ndefu goalCha msingi Man u imeshinda na kuchukua pointi 3. Nilichojifunza hizi mechi mbili ni kwamba pale tunapomiliki sana mpira ndio tunafungwa , na kama opponents wakimiliki mpira sisi tunashinda. Na hivi ndivyo mpira ulivyo ..
Wewe hujawahi ona mume anamke uchi unabana vizur lkn anataka mapango ya mamalayaMourinho alichukua Uropa na hawa akina Lingard, Phil Jones, Luke Shaw, Valencia, Ashly Young, lakini club ikaona ni mafanikio madogo sana, hakuna kusajili wachezaji wa kueleweka ila club inataka makombe makubwa, alivyofukuzwa ndio usajili ukaanza.
Naona utabiri wako umetimiaHali sio hali huko Ulaya "Vigogo" wananyanyaswa mfano hakuna..tusishangae jogoo likichinjwa kesho pale Anfield
Not in Anfield, pal.Hali sio hali huko Ulaya "Vigogo" wananyanyaswa mfano hakuna..tusishangae jogoo likichinjwa kesho pale Anfield
Kila mchezaji na mwalimu wake mkuu.PTER muda huu nimetoka kuangalia highlight kati ya juventus na sampdoria.....
nimemuona aron ramsey akiwa amezaliwa upya eneo la midfield (free role)
Kulusevski, rabiot, Weston mckennie.
andrea pirlo ameanza vizuri
=====
Msimu uliopita game zilizotakiwa kuamuliwa kwa mbinu za mwalimu Ole alishinda 80% ya hizo games.mkuu mbona toka msimu uliopooita tulikuwa tunacbeza vibaya akajificha kwenye hoja ya rebuild msimu huu kaja na hoja ya uchovu ila mbivu na mbichi zitajulikana labda bahati imbebe ila ile quality ya kocha yenye kuamua baadhi ya game imemshinda game nyingi
Kweli mkuu inawezekana Laissez Faire inatumika kwa ole kuwaambia wachezaji wajichague first eleven had wachague wanachezajeMsimu uliopita game zilizotakiwa kuamuliwa kwa mbinu za mwalimu Ole alishinda 80% ya hizo games.
Mapungufu makubwa ya Ole ni Laissez Faire attitude but not his tactical quality.
Matakataka mumepigwa.😂😂😂😂Tatizo game kuisha then unarudishwa uwanjani kupiga penatt
Fouls zingine ni za kipuuzi tu unaona kabisa Refa kafanya maamuzi ya ajabu. Hii inaonesha huwa mnatafuta zaid magoli kwa Njia ya penatiArteta ni version ya jose mourinho muda wa honey moon kwake bado mech ya mwisho ambayo ameanza kuingia kwenye 18 za wana ni mech ya west ham japo alishinda ile zile mbinu zinaanza kudondoka hata kikosi cha chalsea bado kipo sawa tu sijaona cha kulialia kwamba kuna tofaut na united ya 2018 maana wakongwe wapo kibao kaondoka hazard tu wa maana huwezi kupata penat bila kushambulia ukisema ushindi unaamuliwa na penat unakosea utapateje penat bila kushambulia? Ukitaka united wasipate penat ina maana wasifanyiwe faulo kwenye 18 ili mech iishe 0-0
Haiwezekani!!!!Naamini hii habari sio kweli.View attachment 1584132