Kipindi cha pili eneo la Bissaka ni km tuliweka jiwe tu muda mwingi palikuwa waziDaah,,Ole anaifundisha nini hii timu?..Timu hata ule utayari haina
Wachezaji kazi ni kupoteza mipira na kupiga watu gwara uwanjani
AWB is Gone
Ni muda kidogo tu mpaka pale Pogba atakapoanza vurugu zake
Jamaa kawa utopolo sio wa nchi hii...Kipindi cha pili eneo la Bissaka ni km tuliweka jiwe tu muda mwingi palikuwa wazi
Kile kijamaa hakigombei mipita kabisaMtu aliyeona Martial kapiga japo shuti moja golini anikumbushe tafadhali.
Rudia tena kuandika.😂😂😂 Kumbe Man. Utd tukikaza ubingwa wetu bhana, wapinzani wetu ndo hawa Chelshit kweli!!!
Takataka hapa,nimetoka chooni Kwa Westbrom....Njoo ufanye usafi.Angalia huyu takataka.
Nilishasema martial sio mpambanaji no 9....kama tukimtegemea yeye kama striker basi hatuna chetu mwaka huuKile kijamaa hakigombei mipita kabisa
lvg na Mou wote walikuwa top coach, hakuna guarantee yoyote akiondoka ole na kuja kocha mkubwa kwamba atafaulu. so far ole kwangu yupo kwenye right path na ana support yangu, na nipo positive.Bruno anajitahidi sana tokea amefika Utd.
Ila tukubaliane msipomfukuza Ole,hamfiki popote hata mpewe Messi,Ronaldo. Timu haina mbinu hatujui Ole anatumia falsafa gani.
Manchester mnahitaji kocha. Hamuhitaji sijui Sancho n.k
Lvg alikuwa top coach ila hakupewa right choices, Mo alikuwa top coach ila anafundisha mpira mbovu ni kama zama zake zimeisha hivi, na hata sasa bado anahangaika. Ole ni kikwazo zaidi kwenye ile timu kuliko kina Martial Mana hana uwezo Wa kuboresha na kuongeza kiwango cha mchezaji mzuri. Pia hana uwezo Wa kutumia vema vipaji vya kila mchezaji. Ni average coach kama Jamhuri Kihwelo tulvg na Mou wote walikuwa top coach, hakuna guarantee yoyote akiondoka ole na kuja kocha mkubwa kwamba atafaulu. so far ole kwangu yupo kwenye right path na ana support yangu, na nipo positive.
Kabisa.. kuna mipira mingi ilikuwa inatupwa upande wake yeye akiwa hayupo.Kipindi cha pili eneo la Bissaka ni km tuliweka jiwe tu muda mwingi palikuwa wazi
Ninyi munaweza kurudisha goli tatu kama Chelsea? Au ndo mpaka mpate penati
Ninyi munaweza kurudisha goli tatu kama Chelsea? Au ndo mpaka mpate penati
Watu wanapiga kelele..ooh tunahitaji straika..straika kama lukaku kwa mpira ule goli zinatokea wapi,pogba hata chance moja hajacreate..timu haiwezi kupiga hata pass kumi kwenye half ya mpinzani..huu si utani?..Tengeneza kwanza system ya uchezajiLvg alikuwa top coach ila hakupewa right choices, Mo alikuwa top coach ila anafundisha mpira mbovu ni kama zama zake zimeisha hivi, na hata sasa bado anahangaika. Ole ni kikwazo zaidi kwenye ile timu kuliko kina Martial Mana hana uwezo Wa kuboresha na kuongeza kiwango cha mchezaji mzuri. Pia hana uwezo Wa kutumia vema vipaji vya kila mchezaji. Ni average coach kama Jamhuri Kihwelo tu
SurePogba is Bakayoko with more Instagram followers
Yule THIAGO SILVA bora hata Fosu Mensah