kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,142
- 15,757
jioni njema brother🙌👏🤝👍👊Yani yule Bissaka aliyekua anaimbiwa mapambio, leo hayupo tena. Yule Bruno aliyewarudisha baadhi ya watu jamvini, anaonekana kwenye penalties tu. Achilia mbali wakina Pogba na mwenziwe Maguire. Dhoofu l'hali.
Sasa wa maana ni VDB. Anaonekana ana kitu mguuni. Na unadhani ni kwanini? Very simple, ni kwasababu bado hajamezwa na'mediocrity' ya timu. Kipya kinyemi. Ila akipewa muda kidogo, na mambo yakiendelea kuwa hivi, naye atafanania na waliomzunguka sababu wazungu wanasema Birds of the same feathers flock together.
Na panapochekesha zaidi ni kwamba, kuna watu na akili zao timamu kabisa wanaamini mtabibu wao ni Sancho sababu timu haina natural wingers. Na wengine wakiamini bila natural strikers basi hamna magoli huku Liverpool wenyewe wakicheza bila natural strikers (CF) pale mbele, Firmino anacheza False 9, na bado goli zipo tu.
Goli zinatoka pembeni. Zinatoka kwa mabeki. Zinatoka kwa Mids. Why? Simple, Timu ina flow. Ina structure na pattern.
Hiyo huinunui sokoni, unaitengeneza kwenye training. Otherwise hata aje nani, hakuna atakachokuja nacho. Zaidi ataingia kwenye 'circle of mediocrity'.
Kuinusuru hii timu ni kufukuza kocha na benchi la ufundi.Yani yule Bissaka aliyekua anaimbiwa mapambio, leo hayupo tena. Yule Bruno aliyewarudisha baadhi ya watu jamvini, anaonekana kwenye penalties tu. Achilia mbali wakina Pogba na mwenziwe Maguire. Dhoofu l'hali.
Sasa wa maana ni VDB. Anaonekana ana kitu mguuni. Na unadhani ni kwanini? Very simple, ni kwasababu bado hajamezwa na'mediocrity' ya timu. Kipya kinyemi. Ila akipewa muda kidogo, na mambo yakiendelea kuwa hivi, naye atafanania na waliomzunguka sababu wazungu wanasema Birds of the same feathers flock together.
Na panapochekesha zaidi ni kwamba, kuna watu na akili zao timamu kabisa wanaamini mtabibu wao ni Sancho sababu timu haina natural wingers. Na wengine wakiamini bila natural strikers basi hamna magoli huku Liverpool wenyewe wakicheza bila natural strikers (CF) pale mbele, Firmino anacheza False 9, na bado goli zipo tu.
Goli zinatoka pembeni. Zinatoka kwa mabeki. Zinatoka kwa Mids. Why? Simple, Timu ina flow. Ina structure na pattern.
Hiyo huinunui sokoni, unaitengeneza kwenye training. Otherwise hata aje nani, hakuna atakachokuja nacho. Zaidi ataingia kwenye 'circle of mediocrity'.
Ukweli unaouuma...Leo nimeumia sana timu inavyocheza mpaka huruma...timu haina staili rasmi ya uchezaji.Yani yule Bissaka aliyekua anaimbiwa mapambio, leo hayupo tena. Yule Bruno aliyewarudisha baadhi ya watu jamvini, anaonekana kwenye penalties tu. Achilia mbali wakina Pogba na mwenziwe Maguire. Dhoofu l'hali.
Sasa wa maana ni VDB. Anaonekana ana kitu mguuni. Na unadhani ni kwanini? Very simple, ni kwasababu bado hajamezwa na'mediocrity' ya timu. Kipya kinyemi. Ila akipewa muda kidogo, na mambo yakiendelea kuwa hivi, naye atafanania na waliomzunguka sababu wazungu wanasema Birds of the same feathers flock together.
Na panapochekesha zaidi ni kwamba, kuna watu na akili zao timamu kabisa wanaamini mtabibu wao ni Sancho sababu timu haina natural wingers. Na wengine wakiamini bila natural strikers basi hamna magoli huku Liverpool wenyewe wakicheza bila natural strikers (CF) pale mbele, Firmino anacheza False 9, na bado goli zipo tu.
Goli zinatoka pembeni. Zinatoka kwa mabeki. Zinatoka kwa Mids. Why? Simple, Timu ina flow. Ina structure na pattern.
Hiyo huinunui sokoni, unaitengeneza kwenye training. Otherwise hata aje nani, hakuna atakachokuja nacho. Zaidi ataingia kwenye 'circle of mediocrity'.
kwanini bro?Mechi ya Leo itabaki kwenye merrory yangu adi siku nashuka kaburini
Hujui mpira wewe hata wangekuwa wamerudi makwao wangeitwa penati ipigwe
Yani yule Bissaka aliyekua anaimbiwa mapambio, leo hayupo tena. Yule Bruno aliyewarudisha baadhi ya watu jamvini, anaonekana kwenye penalties tu. Achilia mbali wakina Pogba na mwenziwe Maguire. Dhoofu l'hali.
Sasa wa maana ni VDB. Anaonekana ana kitu mguuni. Na unadhani ni kwanini? Very simple, ni kwasababu bado hajamezwa na'mediocrity' ya timu. Kipya kinyemi. Ila akipewa muda kidogo, na mambo yakiendelea kuwa hivi, naye atafanania na waliomzunguka sababu wazungu wanasema Birds of the same feathers flock together.
Na panapochekesha zaidi ni kwamba, kuna watu na akili zao timamu kabisa wanaamini mtabibu wao ni Sancho sababu timu haina natural wingers. Na wengine wakiamini bila natural strikers basi hamna magoli huku Liverpool wenyewe wakicheza bila natural strikers (CF) pale mbele, Firmino anacheza False 9, na bado goli zipo tu.
Goli zinatoka pembeni. Zinatoka kwa mabeki. Zinatoka kwa Mids. Why? Simple, Timu ina flow. Ina structure na pattern.
Hiyo huinunui sokoni, unaitengeneza kwenye training. Otherwise hata aje nani, hakuna atakachokuja nacho. Zaidi ataingia kwenye 'circle of mediocrity'.
Ile pasi kwa Rashford ni Penalty? Tu assume Bruno fernandez hajafunga goli hata moja Toka Aje Man Utd, idadi ya Assist tu ni nzuri. So far amecheza mechi 16 za Epl na Ana Assist 8, average kila mechi 2 ni assist 1. Ukimtoa Henry, Ozil, Fabregas na De bruyne sidhani kama Kuna Kiumbe chochote pale Epl chenye record kama hii.Bruno Fernandes huyu jamaa yeye anachokijua ni kusubiri penalty tu.
Bruno anajitahidi sana tokea amefika Utd.Ile pasi kwa Rashford ni Penalty? Tu assume Bruno fernandez hajafunga goli hata moja Toka Aje Man Utd, idadi ya Assist tu ni nzuri. So far amecheza mechi 16 za Epl na Ana Assist 8, average kila mechi 2 ni assist 1. Ukimtoa Henry, Ozil, Fabregas na De bruyne sidhani kama Kuna Kiumbe chochote pale Epl chenye record kama hii.
Sijawahi kuona penati zake makipa wakigusa mpiraBruno Fernandes huyu jamaa yeye anachokijua ni kusubiri penalty tu.