Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mna FA ngapi mkuu?

Ukishindwa kujibu hilö, kwa heshima na unyenyekevu edit comment yako na ufute maneno 'kila kitu' wala usijihisi aibu na unyonge huo ndio uungwana na ukomavu, na sisi waungawana tutahesabu tu umeteleza kijana.
Mkuu Man united unatuletea story za vikombe vya chai ?

Ona hata aibu basi
 
Rashford,martial ni wingers sio natural strikers..hilo ndy tatizo letu man u,,kugeuza winger kuwapa mikoba ya striker
 
Tena umesahau na Damian babatov kwenye strikers.
Man u ile ndy ilikiwa na spirit ya feggy times..na sio hii ya sasa
 

Mzee Hahahaha umeamua kabisa kuweka pundamilia kwenye avatar noma.
 
Nilikuwa naangalia ratiba ya EPL na nikaona baada ya mechi za weekend hii gemu za wiki zinazofuata zinachezwa muda mmoja..Kwanini wamefanya hivi? au sio ratiba rasmi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…