Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu huu ndio ukweli ambao unauma watu wanaleta ushabiki kwenye ukweli
 
As i've said, Ole has to prove this season.

Mnaweza mjazia World Class Players wote 11 and still akashindwa ku-deliver.

Tusijifiche kwenye mgongo wa rebuilding wakati uwezo wa kocha ni mdogo.
Napinga kwa nguvu zangu zote, mpaka povu lina nitoka.
Ole, anatolewa sadaka tu.
Tatizo lipo kwa Grazza family & Ed wood.
Ifike hatua tuseme ukweli tu, timu yetu tangu wakabidhiwe hawa Grazza family na upepo wa furaha kwa mashabiki ukapotelea hapo.
 
Napinga kwa nguvu zangu zote, mpaka povu lina nitoka.
Ole, anatolewa sadaka tu.
Tatizo lipo kwa Grazza family & Ed wood.
Ifike hatua tuseme ukweli tu, timu yetu tangu wakabidhiwe hawa Grazza family na upepo wa furaha kwa mashabiki ukapotelea hapo.
Anaetakiwa kupanga kikosi ni kocha na sio Ed.

Wachezaji kucheza vibaya ni kocha na sio Ed.

Unamuuza Lukaku ukisema Rashford na Martial wanatosha, baada ya msimu mmoja unataka mchezaji wa kuziba hiyo nafasi.

Wachezaji wengi wameshuka viwango. Sio kosa la Ed wala Glazers.
 
Ivi, Ole, ni kocha wangapi tangu aondoke Ferguson?
Ni kocha gani alie leta maajabu?
Nb. Tuta muomba mpaka Mungu aje atu fundishe lkn hakita badilika chochote.
Leo tuna laumu kocha, kesho tuna laumu wachezaji, lkn mimi ninaimani kuwa Bodie ndio inatuua.
 
Kwani lukaku na martial nani ana nafuu?
Serious unamhukumu Ole kisa kumuuza lukaku, tafuta sababu nyingine.
 
Mkuu tuna fanana mitazamo.
Hapo Grazza family na ED Wood ndio wenye matatizo.

Hao jamaa ni kama wawekezaji wa Madini, yani wanachukua madini na kutuachia mashimo tu.
 
Hao wachezaji ndo walitupa Europa.

Ole akauza Herrera na Lukaku kisa hawafiti kwenye mfumo wake. Huo mfumo mpaka sasa haueleweki na hauonekani.

Leo hii anataka atafutiwe Striker wa kati wakati alimuuza Lukaku.

Ole aondoke kwanza.
Nliwahi kusema humu humu kwamba kumuuza lukaku will prove to be a huge mistake mbeleni
 
Babu, kama kungekua kuna uwezekano wa kutoa Like nyingi, basi ninge kupa hata mia.
Mkuu ulichokiongea ndio kweli tupu, sema kuna watu wanaona fahari kubadili makocha kila siku, bila kujua kila kocha anae kuja, maana yake tunaanza upya.

Laiti tunge kuwa na CEO mwenye chembe chembe za soccer tusinge fika hapa.

Tatizo la timu yetu sio kocha wala wachezaji (hao wanatolewa kafara tu)

Ivi kuna mtu anashaka na uwezo wa LVG, ama Morinho?
 
Waingereza wanafiki sana na hapo umemsahau Scholes
 
Hapo mahali palipo na shida ndipo watu wanaparuka na kuwa shushia lawama wachezaji na Makocha.
 
Ni kweli mkuu. Na kocha anaejitambua huwa anakuwa na nguvu za kuamua aonavyo yeye inafaa.

Bodi ya arsenal walishakubaliana AMN auzwe ila kocha akasema laa. Lukaku kumuondoa ilikuwa ni kosa kubwa sana
 
Mkuu tushabadili makocha wangapi?
Hivi LVG Morinho sio makocha wazuri?

Jamaniiii, mchawi wetu ni Edwoodwad na mabosi wake, hao makocha tunawaonea tu.
Kwa timu kama Dortimund ama Bayan, hata kocha awe Mwambusi bado watapata matokeo mazuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…