Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Mbona umekimbilia kutabiri hivyo?Huyu Alex telles ni bonge la LB ila kuja United haiwezekani hata kidogo labda maajabu ya YESU. Sancho,Thiago, Regulion, nafikiri tunakumbuka vizuri walikubaliana ila hakuna lolote lililotokea. Huyo haji united ila ataenda PSG. Maana bodi haitampa Pesa Ole akasajii.
Au unakunywa chai meza moja na ED Wood.
