Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  • David-Moyes-Manchester-United2_2968539.jpg
  • David-Moyes-Manchester-United-pa3_2968549.jpg
 
David Moyes has hinted that a second Manchester United bid for Leighton Baines is imminent by insisting that there is no gentlemen's agreement preventing him from trying to sign Everton players.
 
Sprint king Usain Bolt set to turn out for Manchester United in Rio Ferdinand’s testimonial

955x1000.jpg

Manchester United are about to inject some serious pace into their team with the signing of sprint king Usain Bolt….well, sort of. Bolt, a well-known United fan, has apparently been given the green light to turn out for his heroes in Rio Ferdinand’s testimonial match against Sevilla on August 9.

Not one to play down his own abilities, the 100m and 200m Olympic champion has boasted of his footie skills in the past and had been cheekily pushing Sir Alex Ferguson to give him a trial before the legendary Scot retired at the end of last season.
‘I know I could make a difference. I’d be the fastest in the team — but I can play as well,’ said Bolt.

800x10003.jpg

United fan: Bolt poses for pictures at Old Trafford last summer (Picture: AP)Well now it appears he is to get his chance, after Ferdinand managed to persuade new boss David Moyes to let Bolt pull on the famous red shirt in the benefit game at Old Trafford later this summer.

A source told the Sunday Sun: ‘Usain has finally got his wish and he’ll be lining up alongside Rio. It should be quite a game.
‘It will be fascinating to see if Usain’s speed will be matched by his passing and ball control.’

It will indeed.
 
Naona anguko la Man U msimu huu ujao,naona kama watamaliza wakiwa nafasi ya 3 au 4.

1.Chelsea
2.Tottenham
3.Man City
4.Man U
5.Everton
6.Arsenal

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums

hayo maneno ya wakosaji tuna uhakika wa kudominant soka la uingereza kwa miaka 3 ijayo.chelse man city na ars zijiandae kutimia managers
 
Kwa nini Man United ni wepesi kwenye kusajili wachezaji maridadi?........kipindi cha nyuma walitaka kumsajili Silva...kaishia kuchukuliwa na Man City, walitaka kumsajili Essien na hata Mikel Obi wote waliishia kuchukuliwa na Chelsea.....walitaka kumsajili yule M-Brazil Lucas....akaishia kuchukuliwa na PSG........walitaka kumsajili Karim Benzema....akaishia kuchukuliwa na Real Madrid.......walitaka kumsajili Ozil....naye akaishia kuchukuliwa na Real.......walitaka kumsajili Golikipa Mjerumani....akaishia kuchukuliwa na Beyern.........etc etc etc......SASA wanataka kumsajili Thiago......naye kuna kila dalili za kutojiunga na Man United.......Mashetani ni wepesi sana katika usajili..........
 
Ogah ,ili mchezaji asajiliwe lazima kuwe na makubaliano ya pande 3 (timu anayotoka,timu anayokwenda,na mchezaji mwenyewe).Ni kweli SAF alitaka kuwasajili mfano Benzema na Varane but Zidane aliwashawishi wafaransa wenzake wakaenda Madrid,hao kina Essien na Mikel bora hawakuja
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini Man United ni wepesi kwenye kusajili wachezaji maridadi?........kipindi cha nyuma walitaka kumsajili Silva...kaishia kuchukuliwa na Man City, walitaka kumsajili Essien na hata Mikel Obi wote waliishia kuchukuliwa na Chelsea.....walitaka kumsajili yule M-Brazil Lucas....akaishia kuchukuliwa na PSG........walitaka kumsajili Karim Benzema....akaishia kuchukuliwa na Real Madrid.......walitaka kumsajili Ozil....naye akaishia kuchukuliwa na Real.......walitaka kumsajili Golikipa Mjerumani....akaishia kuchukuliwa na Beyern.........etc etc etc......SASA wanataka kumsajili Thiago......naye kuna kila dalili za kutojiunga na Man United.......Mashetani ni wepesi sana katika usajili..........

mkuu umesahau kuongeza eden hazard na sneijder
ukweli ni huu man utd hawana nguvu tena kwenye soko la usajiri mfano msimu uliopita first target alikuwa eden hazard akaishia kwenda chelsea, second option akawa lucas moura akaishia kwenda PSG wakaja kwenye option ya 3 ambae ni kagawa hakuna timu kubwa yenye nguvu ilikuwa inamtaka, fargason analijua hili ndo maana akakimbilia kwa moyes ambae anajua ni msiri kama yeye na m2 ambae atlest anaweza mudu bajeti ndogo na kusingizia pesa ipo, angalia usajili msimu huu timu kubwa zote zimeshafanya usajili muhimu mapema mfano barca-neymar, munich-gotze, madrid-isco, chelsea- schurrle hawa ni wachezaji ambao timu ziliwatarget msimu mzima, man utd walimtarget thiago ambae ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa sema anapambana na xavi, iniesta na fabrigas kupata namba ni ngumu, tena anapatikana kwa bei rahisi man utd wameusishwa nae muda mrefu lakin ataishia kwenda bayarn, hii ndio man utd
 
Poleni wakuu nachikia ngumi zimetokea kule Hong kong kati ya Wine Romney na Moya ..... .... ..... .. Chacha Wine anategemewa nyumbani hapo kesho ... ... more to follow ... ...

BTW BJ where are you? OOps Belo, Manda, Mfari.. Wacha-na na huyu roho ya korosho ati Mfarisayo chijui Ngongo et al .... Nzi je? ..... Chacha mtamtoa Eqlypz kule ICU lini?
 
Thiago alcantara aota mbawa united

ukishasikia timu nyingine inamuwania mchezaji anayeviziwa na Man United....ujue Man United hawatakuwa na ubavu wa kuchukua huyo mchezaji tena.......

Kinachonishangaza nevertheless, Man United bado inakuwa timu inayotishia hao wote wanaoiba wachezaji wanaoviziwa na Man United.........
 
mkuu umesahau kuongeza eden hazard na sneijder
ukweli ni huu man utd hawana nguvu tena kwenye soko la usajiri mfano msimu uliopita first target alikuwa eden hazard akaishia kwenda chelsea, second option akawa lucas moura akaishia kwenda PSG wakaja kwenye option ya 3 ambae ni kagawa hakuna timu kubwa yenye nguvu ilikuwa inamtaka, fargason analijua hili ndo maana akakimbilia kwa moyes ambae anajua ni msiri kama yeye na m2 ambae atlest anaweza mudu bajeti ndogo na kusingizia pesa ipo, angalia usajili msimu huu timu kubwa zote zimeshafanya usajili muhimu mapema mfano barca-neymar, munich-gotze, madrid-isco, chelsea- schurrle hawa ni wachezaji ambao timu ziliwatarget msimu mzima, man utd walimtarget thiago ambae ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa sema anapambana na xavi, iniesta na fabrigas kupata namba ni ngumu, tena anapatikana kwa bei rahisi man utd wameusishwa nae muda mrefu lakin ataishia kwenda bayarn, hii ndio man utd

Katika kipindi cha Usajili kama hichi taarifa nyingi huwa ni tetesi tu na lengo kubwa ni magazeti kuuza hasa ya udaku. Kwa hiyo si kweli kuwa kila mchezaji anayehusishwa na usajili ichukuliwe kama ndo official.

Mi naamini Man Utd ina uweze wa kusajili mchezaji inaemtaka ila ieleweke kuwa kusajili kunategemea pia utayari wa mchezaji pamoja na timu anayotoka.
 
ukishasikia timu nyingine inamuwania mchezaji anayeviziwa na Man United....ujue Man United hawatakuwa na ubavu wa kuchukua huyo mchezaji tena.......

Kinachonishangaza nevertheless, Man United bado inakuwa timu inayotishia hao wote wanaoiba wachezaji wanaoviziwa na Man United.........

Hv Van Persie alikuwa anatakiwa na Man Utd peke yake?
 
Man u kaziao n kusema 2 Kwa mdomo c o Kwa vtendo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
umeshinda Mkuu........however, kuna ukweli mwingi kwa niliyoandika......

Tatizo si pesa tu, kuna mambo mengine pia hasa utayari wa mchezaji mwenyewe pamoja na mbinu nyinginezo. Binafsi nakiri kuondoka kwa Peter Kenyoni kulileta pigo kubwa kwa Man Utd, Kenyoni alikuwa mjanja sana katika masuala ya usajili na alikuwa anaweza hata kuiba wachezaji Airport wakiwa njiani kwenda timu nyingine.

Pia utawala wa Ferg ulikuwa kikwazo kwa baadhi ya Wachezaji ambao walimuona kama mbabe.
 
article-2362144-1AC7DB49000005DC-588_634x559.jpg

Is this the end .... .... .... ? When will I see you again?
 
Tinamchubiri Mfarisayo ooops Ngongo atuletee habari kutoka Bangkok .... ..... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee .. .Nzi naye chijui yuko wapi? Belo yeye na Manda wanasuasua tu ..... ... BJ upo? Wengine wapiga zumari tu si chochote wala nini?
 
Back
Top Bottom