Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hapana nim ANGOLA ila kazariwa ENGLAND kama sijasahau ila jina sasa ( Teden Mambuene Mengi)★
Sura yake ni yakitanzania
Teden_Mengi-2a-21563188848965_thumb.jpg
 
Tunakwenda kucheza uefa kwa nini bodi isisajili world class players kuziba matatizo ambayo tunayo kila siku?? Man u tuna shida ya winger wa kulia hata mtoto wa la saba asiyejua mpira anajua hilo, tuna shida ya beki wa kati hayo ni maeneo ambayo lazima lazima tuyarekebishe cha kushangaza ili litimu bodi na ole wao wanaenda kusajili van de beek an un unnecessary signing kioindi hiki anyway sio mbaya una mamido karibu watano unaenda kuongeza mwingine wakati kuna sehemu una shida ipo wazi badala udeal nayo unaiacha.
Kloop na Pep wamemwacha mbali sana ole kwa kutumia akili kloop huwa anasajili kuziba nafasi yenye upungufu tuu liver hawana creative middlefilder amabye ni aggressive tayari kloop hajapoteza mda kasajili thiago guaidiola alikuwa anashida ya beki kasajili ake nknk hizi ni target signings una sajili kwa sababu fulani man u tuna matatizo lukuki winger ya kulia na beki wewe unaenda kusajili middle mwingine eneo ambalo tayari kwa kiasi chake lina ahueni. anyway tusubiri tuone donny ana kitu gani cha ajabu ambacho kina pogba, bruno na scot hawana mpaka man u tumeacha kununua winger na beki tukamkimbilia yeye yaani ni sawa na nyumbani hakuna chakula badala ya kununua msosi familia ile wewe unaenda kuwafanyia shopping ya nguo.
Bodi itie pesa chapchap kwenye maeneo yenye shida sugu wachezaji world class kama sancho na koulibaly then sasa waanze kufikiria kuboresha left back na striker mmoja clinical mwenye nguvu kama backup ya kina shaw na martial uone kama epl hatubebi ila kwa winger hii ya kumtegemea greenwood na beki ya kina linderlov ata ukimleta huyo sijuu regulion nk ni kazi bure
Solskjær sio wa kumlaumu, kama ulivyosema tuna shida ya Winger wa kulia, Solskjær si amependekeza Sancho; Je, wamemleta?

Beki wa kati si ilikua wamnunue Magalhaes; Je, wamemleta?

Donny VDB ni usajili mzuri na sio wa kubeza kocha ameongezewa options.

Kitu ambacho Man. United hawawezi kufanya ni kumsajili Sancho na Koulibaly kwa kipindi kimoja. Mi naona wachukue kwanza RW na LB maeneo mengine watachukua dirisha la usajili linalofuata.

LB ndiyo kuna cheap option ilyopo sokoni, Telles ukimchukua na Sancho; United wata-spend almost £126M sasa ukitaka Koulibaly na Sancho itabidi iwatoke almost £188M; ni kitu ambacho hakitakuja kutokea msimu huu United ku-spend 188 kwa wachezaji wawili.

Biashara ya mpira sio uwanjani tu inaenda sambamba na mahesabu.
 
Hao world class wakija kwetu wanafeli, tuendelee tu na hii hii philosophy yetu ya young and hungry players, vdb ni usajili mzuri mkuu, haiwezekani tumalize msimu mzima bila Bruno au Pogba kuumia.
 
Kwa nini timu kubwa kama man u ishindwe kutatua matatizo sugu for once and for all kwa only 188M? Man u ni timu tajiri on paper tuna pesa mingi sana wanatuaminisha tunaingiza mapato makubwa mno kupitia jezi nknk sasa ugumu wa kutoa 188M upo wapi?? Huo ubahili tumeuanza lini?? Tatizo la bodi ni kudharau the football part ya man u wao kwa kuwa sio watu wa mpira haiwaumi hata kidogo pumbavu zao so long as the financials part is good they dont care anything about football huo ni ujinga na it wont work kwenye modern football ya sasa.
Bodi imeshaona na kuprove kuwa pesa inaingia tu kwenye club regardless ata timu ikiwa utopolo uwanjani na ndio jeuri yao timu ibebe makonbe isibebe wao pesa inaingia tuu sasa they dont see any need ya kuspend high this is bullshit na ina kera sana kila timu inaenda kusajili kuimarisha kikosi ila sisi man u tunalag behind alafu mwishoni tutaka makombe hayo makombe tutayapataje without spending big???
Man u ya saiv haiwazi kubeba uefa tena, hauwazi kubeba treble tena, haiwazi kubeba epl tena, saiv tunawaza kubakia top four damn this club is falling into pieces and nothing is done to rescue it.

Sasa hao kina Telles tunawanunua hata uwakika wa no tu kikosi cha kwanza kwetu hana bado anaenda kuwa backup why tusideal kwanza na hawa utopolo tulionao ambao ndo eti kikosi chetu cha kwanza??
 
Hao world class wakija kwetu wanafeli, tuendelee tu na hii hii philosophy yetu ya young and hungry players, vdb ni usajili mzuri mkuu, haiwezekani tumalize msimu mzima bila Bruno au Pogba kuumia.

Mkuu mgonjwa wa mguu unampa dawa ya kupunguza maumivu ya kichwa unategemea atapona mguu kweli wakati haumwi kichwa anaumwa mguu?
Tatizo letu msimu huu baada ya kumsajili bruno halijawahi kuwa viungo . Viungo tunao wa kutosha wakabaji kina matic, scit na fred na wote hao wameshaprove kuna mda tunaweza kuwategemea freshh pogba na bruno nao wapo vizuri all around sasa huyu vdb anauajabu gani mpaka tumsajili kipindi hikii?? kwa nn tumnunue yeye saivi wakati shida ipo kwenye winger na beki wa kati??
Au kina ed wood wanacheza tu na akili zetu mashabiki kwamba tufunike kombe mwanaharamu apite na sisi mbele ya watu tuonekane tumesajili???
 
Ni bonge la LB, amekamilika kila idara; defending, shooting, pace, dribbling, passing & physically fit.

Nimeona tetesi amekubali dili la miaka mitano United na PSG nao wanahusishwa naye.
Defending!!???

Jaribu kumfuatilia tena.
 
Defending!!???

Jaribu kumfuatilia tena.
Hakuna sehemu utakayopata review nzuri ya mchezaji, ukienda YouTube huwezi kuona defending skills zake kwasababu watatumia muda wote kuonyesha magoli na assists zake. Na YouTube hakuna mchezaji mbaya wanaweka highlights nzuri tu kama ni kukaba wataonyesha skills kali tu sasa najiuliza kwanini umeshangaa kuwa vizuri defensively au kwakuwa ana-attack sana.
 
Haaaahaaaa We unavyosema "palace ni ileile inayopokea bakora kila siku" unafikiri tumeelewaje unamaanisha nn...kwamba kila mkikutana nao ni kama shamba LA bibi mnajichotea points 3 sio....
Unaangalia game ya Everton?
 
Mkuu mgonjwa wa mguu unampa dawa ya kupunguza maumivu ya kichwa unategemea atapona mguu kweli wakati haumwi kichwa anaumwa mguu?
Tatizo letu msimu huu baada ya kumsajili bruno halijawahi kuwa viungo . Viungo tunao wa kutosha wakabaji kina matic, scit na fred na wote hao wameshaprove kuna mda tunaweza kuwategemea freshh pogba na bruno nao wapo vizuri all around sasa huyu vdb anauajabu gani mpaka tumsajili kipindi hikii?? kwa nn tumnunue yeye saivi wakati shida ipo kwenye winger na beki wa kati??
Au kina ed wood wanacheza tu na akili zetu mashabiki kwamba tufunike kombe mwanaharamu apite na sisi mbele ya watu tuonekane tumesajili???
Hata mimi naweza leta hoja hatuhitaji winga na beki, kule kulia kuna mata anaweza cheza yupo lingard na pia Perreira na greenwood pia anaweza cheza. Mabeki ndo usiseme jones, baily, tuanzebe, smalling, maguire, fosu mensah, jones, lindelof, mengi etc.

Lakini sipo sahihi hao mawinga sio level za utd na beki pia wengi bado na wengine ni majeruhi sana.

Mkuu VDB ana sifa ambazo midfield wote wa Utd hawana ambayo ni close control na kuweza kucheza kwenye tight space, timu pinzani ikipaki Basi vile vichenga na mipira ya kupenyeza huyu jamaa ndio utaalamu wake ulipo. Atatusaidia kama ata adapt upesi pale Epl. Bruno ni threat kwenye goli kwa upande wake (mashuti ya mbali, penalty, free kick etc) ila VDB quality zake ni tofauti ambazo bruno hana, mfano VDB magoli yake anafunga ndani ya box na ni mzuri sana kwenye zile late run.

Mfano angalia hii mechi ya kirafiki ya Villa alivyohold huu mpira
 
Huyu Alex telles ni bonge la LB ila kuja United haiwezekani hata kidogo labda maajabu ya YESU. Sancho,Thiago, Regulion, nafikiri tunakumbuka vizuri walikubaliana ila hakuna lolote lililotokea. Huyo haji united ila ataenda PSG. Maana bodi haitampa Pesa Ole akasajii.
 
Back
Top Bottom