DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Acha story, nyinyi na sisi lini?Aseno tumewatesa sana jamani
Acha story, nyinyi na sisi lini?Aseno tumewatesa sana jamani
mkuu hizo tetesi za mshahara zimeanzia huko huko kwao, hata kwa lvl za woodward hawezi mlipa bale 600k,1.Bale ni injury prone na attitude yake haitufai United Costa ni galasa hata akiwa mzima
2.Mshahara wake ni mkubwa sana & Perez sio mjinga kama Woodward awape mchezaji then amlipe mshahara yeye umeona deal la Regulon lilivyokufa
3.3 years ago Mourinho alitaka kuwasajili Perisic & Willian tukamtukana kila aina ya tusi
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Tatizo watataka £700mil★"He's scoring 30 goals a season and not getting chances to win trophies, what's the point in being there?"
Paul Merson cannot understand why there isn't more talk about a team signing Harry Kane from Tottenham.★View attachment 1570999
Acheni ku exaggerate vitu ili kukosoa. Nani aliyesema huyo dogo ni zaidi ya Bruno na Pogba? Vitu kama hivyo kwenye mpira vinatokea na hiyo ni mechi moja naomba tufanye judgement mwisho wa msimu.
Waingereza ni wapumbavu.Kwa tulipofikia na hizi tetesi za usajili zisizo na tija , naona tu man u wasitishe usajili mpaka dirisha dogo na tuendelee na wachezaji walewale. Maana kama ndio inafikia kutaka wachezaji walioflop kama Bale, yaani akija United ndio anakuja kupaki basi nyumbani kwake huku akila mshahara wa bure kama yule jirani mwenzetu tuliyemtoa Arsenal.
Yaani sasa hivi siamini kama Man u ndiyo inataka kusajili wachezaji ambao ni wazee kama Bale na Douglas Costa na alafu ni tatizo kubwa sana katika injuries.Mara tena eti tulikuwa tunamtaka Ndembele wa Barcelona aje kuungana na Phil jones , Eric bail na Rojo kwenye kitabu cha majeruhi. Hivi jamani! ligi ina mechi 38 alafu tunataka wazee wa miaka 30 waliofeli ligi zao ambao hata ligi zao wameshindwa kucheza hata mechi 25. Na hata hawana uwezo wa kufunga bao zaidi ya 3 ambacho ni kinyume na kanuni za kuitwa Winger bora. Kiukweli tumeishiwa mipango msimu huu kwenye swala la usajili, yaani tumetekwa na mchezaji mmoja tu (Sancho) ambaye hawezi kuja labda tu maajabu ya Musa.
Mimi naona kuliko kuchukua wachezaji walioflop ligi zao kuja kucheza ligi ngumu kama Uingereza ni bora tubaki na wachezaji tulionao kwa msimu huu lasivyo kuna hatari ya kuchukua failed projects sawa na mchezaji hewa.
Achana na huu upumbavu.
Bale hakuna kitu chief.Man utd hawataki kumsajili Bale, Bali madrid wanatafuta mtu atakaelipa mshahara angalau kidogo wa Bale.
Bale analipwa 600k kwa wiki na hachezi, hivyo madrid wanataka kumsukuma club yoyote kwa mkopo na watalipa asilimia 60 ya mshahara wake (tetesi).
Mimi binafsi nataka sancho aje, ila kuliko kuanza msimu bila winga wa Kulia ni bora Bale wa bure ama Costa wa bei rahisi.
Hapa ukiuliza bei utaambiwa si chini ya £200M.★"He's scoring 30 goals a season and not getting chances to win trophies, what's the point in being there?"
Paul Merson cannot understand why there isn't more talk about a team signing Harry Kane from Tottenham.★View attachment 1570999
Spurs washakamilisha dili huko, wamekubali mkataba wake uwe na 'buy back clause' kama Madrid walivyotaka. (via: Fabrizio Romano)
Sio kwamba ni deal zuri kwetu? Wangeeka buy back clause kwamba siku yoyote wakimtaka wanamchukua huoni wanatufanya kama Academy yao tu?Spurs washakamilisha dili huko, wamekubali mkataba wake uwe na 'buy back' kama Madrid walivyotaka. (via: Fabrizio Romano)
Man. Utd kama kawaida wamehusishwa naye karibia wiki sasa ila Spurs kaingilia dili chapu na wamefanya maamuzi.
F*ck Glazers, F*ck Ed Woodward.
Hili dili lilikuwa zuri angekuja angetusaidia japo kwa msimu mmoja, halafu unamnunua kwa €30 then wakimtaka wanamrudisha kwa around €40/45. Tayari hapo unarudisha japo expenses ulizotumia kumuweka kikosini ndani ya msimu.Sio kwamba ni deal zuri kwetu? Wangeeka buy back clause kwamba siku yoyote wakimtaka wanamchukua huoni wanatufanya kama Academy yao tu?
Kwa hio mkuu tumkuze mchezaji ili baadae madrid wamchukue? Kuna Full back wangapi duniani wazuri?Hili dili lilikuwa zuri angekuja angetusaidia japo kwa msimu mmoja, halafu unamnunua kwa €30 then wakimtaka wanamrudisha kwa around €40/45. Tayari hapo unarudisha japo expenses ulizotumia kumuweka kikosini ndani ya msimu.
Na wasipomtaka tayari ume-win japokuwa naamini akiwa katika kiwango kizuri lazima Madrid watarudi kwenye mkataba.
Kwa mtazamo wangu naona lilikuwa dili zuri (for short term goals)Kwa hio mkuu tumkuze mchezaji ili baadae madrid wamchukue? Kuna Full back wangapi duniani wazuri?
Sio kwamba tupo desperate tunataka LB, tunataka tu mtu wa depth incase luke shaw ataumia ama wing back ikiwa Shaw atacheza back 3.
Kuna Telles pia tupo linked nae 18m.