DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Unataka upewe raha?kilichonikera Mimi ni kuiweka Arsenal na takataka cheltyako,Mbona umepanick na unataka kupasuka na kulia utafikiri ww ndio mmiliki wa arsenal8 au huamini kuona Kikosi chenu ni sawa na thamani anayouzwa messi. Wekeni sokoni wachezaji wote 30 wa Arsenal uone kama itazidi hata 500M Euro,,,,. Yaani na chenji zitabaki.
Mm nilikuwa sijui kama kuna sentensi zinawafanya mpasuke kabisa😅😅😂😂😂😂😅😅
Kwani wewe nyumbu una thamani gani?maana hao kina halima gwaya mlipigwa tu ng'ombe nyie