Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Nilipoteana vibaya sana toka sevilla ametutandika wiki jana.
Tutolee takataka hapa.Dean Henderson is at Manchester United training today, welcome back Deano!#MUFCView attachment 1542871
Asee umeongea point sana.Pili siwalaumu chelsea kwa gharama za Keppa
Jamaa walikuwa under pressure ya kutafuta kipa baada ya Cortour kuForce move ya kwenda madrid..it was unexpected and within short time..so real betis wakatumia advantage kuwakamua pesa.
Kimsingi sio kila transfer lazima itoe matunda..nyingine huwa zinafeli vibaya
Mf; FERGUSON na kina BEBE
GARDIOLA na kina NORITO,BRAVO
MORINHO na Mkitaryan,KdB,Mo Salah
Conte na Kina Zapacosta,Drink water
Arsenal na GNABY
Thiago Silva ana 36 mnamng'ang'aniaSidhani kama chelsea inaweza enda barcelona kusajili player yyt barce player ambao wako sokoni wengi ni 30+ sisi huku kwetu tuna tunakazi ya kupunguza wazee hatuwezi ongeza
Zlatan Ibrahimovic : "You want to be a Winner everywhere you go, then meet with the best manager in the world Jose Mourinho. He is a type of Manager that fears nothing. He is more like Zlatan. He does not fear the Club Boss, the Players, The Journalists. The only thing He fears is to not deliver a Trophy for his Club.
I won with him at Inter Milan, and when I was in PSG he gave me a call and said " don't you want to come over here at Manchester United, it's my first season here and everyone looks strange; the kit, the badge looks strange so if you come over we will help them win a Cup or two, your presence will give these players a big lift. I said why not. When I get there It was a very young team that plays Europa League. I told them we are going to win, because Trophies respects Zlatan and Jose Mourinho.
We won three or two Trophies that year and qualified for Champions League. Jose and myself left the Club and they went back on winning nothing . So you must look out for Tottenham next season as Jose will start his first full season with them.
Breaking news
Natoa tahadhari kabisa ukingia YouTube kutafuta magoli ya bruno
Utapigwa za uso bando lako
Niheri utafute magoli ya minamino
Nakwenda zanguView attachment 1543461










Bora kelvin Yondan kotonMagwaya introduced no look defendingView attachment 1543452
Utaniambia nikutumie link ya magoli yake
Napendekeza UEFA iunde chombo cha kusimamia hizi bei yn wawe wana wa rank wachezaji na gharama zao yn wafanye hvYaani kiukweli jamani soko la ulaya lishachafuka. Sasa hivi mchezaji akiwa na uwezo wa kufunga bao 11 yaani thamani yake inakuwa zaidi ya 75MIL + . Ila ukija kuangalia timu zilizochafua soko ni Mad-rid, Barcelona , Man united , PSG , Chelsea ukijumuisha na timu zilizouza wachezaji wa kawaida kwa bei mbaya Kama Dortmund , Liverpool, Leiceste-r city , Atletico Madrid. Alafu sasa cha ajabu thamani waliyouzwa ni kubwa ukiangalia na wanacho deliver wanapokuwa uwanjani na viwango vyao ni vya kawaida huku wengine wakiwa na tuzo za kupata injuries,,,. Haya tumeona wachezaji kama Coutinho, Dembele, Hazard , Maguire, Griezmann , joao felix wa (Atl._Madrid), Kepa Arrizabalaga na wengineo ambao ni wachezaji below the average.
Sasa hivi tunaona Man u wanatakwa kupigwa utapeli kwa wachezaji kama koulibay, jack grealish na wengineo ambao tumeusishwa wakiuzwa 75MIL+ , na hapa sishangai maana tulishachafua soko kwa Magwaya..
ila kwa uhalisia mchezaji yoyote atakayekuja Old Trafford kwa zaidi ya 80MIL + yaani hawezi kutoboa kwa mda mrefu maana pres-sure inakuwa kwake pale timu inaposhindwa kupata matokeo. Sasa tunaona Magwaya ambavyo ukabaji wake, utoaji wa pasi na uchezaji wake wote umekuwa wa presha sana . Sasa hata huyu Sancho kwa hiyo bei nina wasiwasi atakuwa kama Joao Felix wa Atletico , Coutinho , Hazard na Magwaya. _Hizo bei za wachezaji kubwa zinazouzwa , kuna mda ni kwenda kuwaharibu viwango hasa kwa timu yenye presha kama Man united.
Haya tunaona sasa hivi Man u ikitaka mchezaji wanaambiwa pesa ndefu tofauti na club zingine. Sasa sitashangaa kuona mchezaji anakuja kwa thamani ya 85MIL + ila kiwango chake kinakuwa sawa na cha Perreira, Magwaya au Rashford.



★
Napendekeza UEFA iunde chombo cha kusimamia hizi bei yn wawe wana wa rank wachezaji na gharama zao yn wafanye hv
Grade A (£91mil -£100mil)
Grade B (£81mil - £90mil)
Grade C (£71mil - £80mil)
Grade D (£61mil - £70mil)
Grade E (£51mil - £60mil)
Grade F (£41mil - £50mil)
Grade G (£31mil - £40mil)
Grade H (£21mil - £30mil)
Grade I (£11mil - £20mil)
Grade J (£1mil - £10mil)
Na hapo wawe wana update viwango vya wachezaji mara kwa mara hii pia itasaidia hata ktk kumpata mshindi halisi wa tunzo km za ligi mpk za kidunia na co mchezaji anang'ara mcm mmoja huyoo anabeba ballon d'or, lkn pia itasaidia kulinda soko la wachezaji linalokwenda kuharibika na kwenda nje ya uhalisia.
Lkn pia itasaidia kuwabana mawakala wenye tamaa zilizo pitiliza cz hao ndiyo wanaoharibu mpira kwa kuweka ma price tag yasiyo na msingi matokeo yake mchezaji anacheza kwa pressure kubwa cz akifikiria price aliyonunuliwa haimstahili kabisa mwisho wake hatupati ladha kamili ya soka cz pesa inazd kushika hatamu.
Hii pia itasaidia kumpeleka mchezaji tm anayotaka, mfano mchezaji wa grade A anatakiwa na tm lukuki but price yake ishawekwa hadharani kitakachobaki hapo ni mchezaji kuchagua tm anayotaka so hapo itabd tm zngne ziboreshe viwango ili kuvutia wachezaji.
Anashindwa kuzuia strikers anapigana bar.Harry Maguire arrested in Greece for attacking police after fight outside bar
View attachment 1543851
Criteria itakayotumika kugrade mchezaji ni ipi?Napendekeza UEFA iunde chombo cha kusimamia hizi bei yn wawe wana wa rank wachezaji na gharama zao yn wafanye hv
Grade A (£91mil -£100mil)
Grade B (£81mil - £90mil)
Grade C (£71mil - £80mil)
Grade D (£61mil - £70mil)
Grade E (£51mil - £60mil)
Grade F (£41mil - £50mil)
Grade G (£31mil - £40mil)
Grade H (£21mil - £30mil)
Grade I (£11mil - £20mil)
Grade J (£1mil - £10mil)
Na hapo wawe wana update viwango (ranks) vya wachezaji mara kwa mara hii pia itasaidia hata ktk kumpata mshindi halisi wa tunzo km za ligi mpk za kidunia na co mchezaji anang'ara mcm mmoja huyoo anabeba ballon d'or, lkn pia itasaidia kulinda soko la wachezaji linalokwenda kuharibika na kwenda nje ya uhalisia.
Lkn pia itasaidia kuwabana mawakala wenye tamaa zilizo pitiliza cz hao ndiyo wanaoharibu mpira kwa kuweka ma price tag yasiyo na msingi matokeo yake mchezaji anacheza kwa pressure kubwa cz akifikiria price aliyonunuliwa haimstahili kabisa mwisho wake hatupati ladha kamili ya soka cz pesa inazd kushika hatamu.
Hii pia itasaidia kumpeleka mchezaji tm anayotaka, mfano mchezaji wa grade A anatakiwa na tm lukuki but price yake ishawekwa hadharani kitakachobaki hapo ni mchezaji kuchagua tm anayotaka so hapo itabd tm zngne ziboreshe viwango ili kuvutia wachezaji.