Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe ni takataka wa kupuuzwa. Unaifanisha Chelsea na vitu vy ajabu ajabu
 
★Shida kuna watu humu vigeu geu walipokuea wakifanya vibaya waliomba wauzwe nao wamerudi form tena baada ya miaka mingi kupita ko wangebaki wabebwe na hawabebeki afu unashanaa mtu anaanza maneno "umeuza mala nani ukabakiza nani" kwani nani pale team ya baba ake atabakia milele.
Herrera me mwenyewe sikupenda auzwe kwakweli ila ndio ishatokea mtu anaanza lawama za kike kama kalipiwa Mahari nusu ½ bwana
Yaliyopita si ndwele ndugu lazima tm iendelee hao wameenda unataka kutuaminisha kwamba hakuna wengine? Je hao tng wakiwa man u walitupatia mafanikio gn zaidi ya europa tena tukicheza kwa kubahatisha bahatisha tu.
 
Kwahiyo ndiyo munataka kumpokonya Ucaptain siyo? Angelikuwa sio Muengereza kama Paul Pogba ingewezekana! Lakini wakati ni Muengereza basi Ucaptain wake hautoguswa 😂😂😂

View attachment 1548656

Hawezi kuendelea kuwa captain wenzetu wanazingatia sn maadili, namuona Bruno akivaa tambala lililokuwa likimsubiri na kwakweli ameonesha ya kwmb ni kiongozi wa kweli uwanjani.

Nilisema 😂😂😂

 
★HERE WE GO:
Harry Maguire is set to meet senior Manchester United officials to discuss the future of the club captaincy, after being found guilty of three charges by a Greek court.★

#GGMU
 
★mohamedbouhafsi | AS Monaco have rejected a €25m offer from Man Utd for Benoît Badiashile. He will stay “unless Manchester make a Martial-like, unrefusable bid for him”★.

manutd |
 
Man Utd itakua wame-pull alot of strings Maguire asiende jela

Ingekua ni jamaa tu wakawaida angekua ananyea debe saizi
 
Dean Henderson sign 6yrs new contract with Manchester United, with weekly pay of 120,000£,
No more Loan deals will stay to fight for number one spot with David da Gea

Bad news for Serg Romero

Source Sky Sports
dean henderson = mshara wa paundi 120000 kwa wiki
david degea =mshahara wa paundi 375,000 kwa wiki
jumla = paundi 500000
=============================
 
Mashabiki wa Chelsea na arsenal wanashindwa kuwa kwenye jukwaa lao , muda wore wanashinda huku .

Jamani nendeni kwenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…