Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Malengo yetu msimu huu yalikuwa kuimarisha kikosiKwa hiyo kipi kimewafanya mshindwe kubeba taji lolote msimu huu
Malengo yetu msimu huu yalikuwa kuimarisha kikosiKwa hiyo kipi kimewafanya mshindwe kubeba taji lolote msimu huu
Ushaambiwa man ndio timu iliyoongoza kwa clean sheet kuliko timu yeyote sasa vijimakosa kama hivyo vidogo kila beki anafanya
Kwn Maguire we unamchukuliaje, ametengeneza beki line ambayo ni miongoni mwa beck line zenye clean sheets nyng ulaya unamchukuliaje kwn.naona haikukurupuka kumsajili Magwaya kwa £80m
![]()
Tuambie mna clean sheet ngapi?Ushaambiwa man ndio timu iliyoongoza kwa clean sheet kuliko timu yeyote sasa vijimakosa kama hivyo vidogo kila beki anafanya




Uchochoro kama chochoro zingineKwn Maguire we unamchukuliaje, ametengeneza beki line ambayo ni miongoni mwa beck line zenye clean sheets nyng ulaya unamchukuliaje kwn.
Lete statistics ku support ur claim kwmb Maguire ni uchochoro msilete maneno ya chuki za kwenye vibanda umiza.Uchochoro kama chochoro zingine
Without any dought..na hawezi kujitokeza mapema kuanza kujilinda kwa kuwarushia vijembe vya chinichini kina Ed WoordwardWorst thing about this whole transfer situation, Solskæer will be the one who pays the price.
Mashabiki watasau kwamba tatizo ni management chini ya ed woodward ila wataona kocha hafai.Without any dought..na hawezi kujitokeza mapema kuanza kujilinda kwa kuwarushia vijembe vya chinichini kina Ed Woordward
Kwa mumekubali kuwa nyie ni wanawake?Acha tukawaangalie wanaume wakicheza
Tumeshindwa hata ku-manage kuingia Fainali moja kati ya tatu msimu huu..hovyo kabisa
UnazinguaNasikia maguire amepigwa fine ya mil 5 euro .....uongozi wa man u wakasema watalipa milion 3 +lingard +phil Jones![]()
Sell Herrera.
Sell DiMaria
Sell Lukaku
Phill Jones Stays.
Lingard Stays.
Hahahaha

Yaliyopita si ndwele ndugu lazima tm iendelee hao wameenda unataka kutuaminisha kwamba hakuna wengine? Je hao tng wakiwa man u walitupatia mafanikio gn zaidi ya europa tena tukicheza kwa kubahatisha bahatisha tu.Sell Herrera.
Sell DiMaria
Sell Lukaku
Phill Jones Stays.
Lingard Stays.
Hahahaha