Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,101
- 14,839
Kuna watu nawatafuta humu hamjawaona wazee? Tumevunjiwa nyumba yetu mitaa fulani hapa JF sasa hivi tunaishi kama yatima.
hata tukijaribu kujenga kakibanda ka miti, mods wanapita nako kama mgambo wa jiji.
Inatulazimu kujibanza kwenye nyumba za watu kama hii ambayo tuna unasaba nazo.