Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumemaliza zaidi ya mwezi Tangu Dirisha lifunguliwe na HUATUJAFANYA USAJILI WOWOTE wa 1ST team..

Chelsea anamalizana na Ben Chilwel(LB Leicester) huko..
 
★Ed Woodward huyu jamaa ana uhuni wa Kishamba
Wakati Wan bisaka anamchango mdogo kwenye ushambuliaji,luke shaw kila baada ya mechi 2-4 anarudi dispensary ya klabu kutibiwa miguu.
Lakini tumechill tu
 
Maguire to Prison. Here we go!! Manchester United have agreed a £30 million offer + £10 million add ons for the English Centre back to join Prison FC on a permanent transfer!!! #Transfers #maguire #manunited
 
Inter kachakazwa huko na sevilla. Inaonekana sevilla ni watu wa mahesabu when it comes to europa. Ndiyo maana tunasema europa Ni kombe la sevilla. Wale akina lukaku poleni.
Lukaku kachangia goli moja la penalti na moja alilowafungia Sevila very good and crucial goal
 
Inter wangechukua Lukaku angebonga sana.
Lukaku is average player watake wasitake, hata magoli yake huwa c ya kiufundi km natural no.9 wanavyofunga, yn japo mtu km Martial au Rashford huwa wananikera kwa uwezo wao mdogo lkn mm ntamchagua mmoja wao kuliko lukaku, hao wawili wana makosa ya hapa na pale ila Lukaku ana makosa mengi kuwazidi.
 
★Mimi hiyo nimeitolea SKY SPORT Mkuu na nazani ipo UPDATED Kulingana mikataba ya Wachezaji husika pia huwa kuna kupunguzwa mishahara wacheza Copy Dat★
Luke shaw ana mshahara mkubwa kuliko Mata

Luke Shaw wapo sawa na Rashford hivi nikikumbuka sources nilizowahi kuzicheki
 
Back
Top Bottom