Ndiyo huyo uliyeweka Kwenye avatar ?Likely to happen.....
David Brooks to Man. United. Tetesi zinasema Manchester United wapo mbioni kusaka saini ya Brooks kama mmbadala wa dili la Sancho.
Niliwahi kuandika kipindi cha nyuma tumpate Brooks ila naona United kama wanataka kumtumia kama cheap option ya Sancho. Kimsingi Sancho bado anahitajika hata Brooks akija.
NB: Siku Brooks akisaini na United nitatoa picha yake akiwa na uzi wa The Cherries na nitaweka akiwa na The Red Devils.![]()
Bora kaenda Arsenal wachezaji wa South America kwa united ni betting ya hatari sana.Understand Lille have agreed to sell Gabriel Magalhães to Arsenal for a fee of €30million.
Brazilian centre back due to take medical tomorrow before completing transfer to the Premier League club.
Gabriel was also targeted by Everton, Manchester United and Napoli. #AFC #BRAView attachment 1542568
Acha uongo mkuuGharama za usajili walizotumia Bayern Munich kuunda kikosi chao cha kwanza ni sawa na Gharama waliotumia Man United kumnunua Harry Maguire kutoka Lecester CityView attachment 1542758
"Mapenzi Mubashara"Likely to happen.....
David Brooks to Man. United. Tetesi zinasema Manchester United wapo mbioni kusaka saini ya Brooks kama mmbadala wa dili la Sancho.
Niliwahi kuandika kipindi cha nyuma tumpate Brooks ila naona United kama wanataka kumtumia kama cheap option ya Sancho. Kimsingi Sancho bado anahitajika hata Brooks akija.
NB: Siku Brooks akisaini na United nitatoa picha yake akiwa na uzi wa The Cherries na nitaweka akiwa na The Red Devils.![]()
Hapo vipi?Acha uongo mkuu
80 na 95 ipi kubwa ?Hapo vipi?View attachment 1542869
Sawa mzee ila..Hapo vipi?View attachment 1542869
Itakuwa tumepewa days off ya one week kwani tuliendelea kucheza hata baada ya ligi kuishaHiyo game Ya kwanza na Burnley imehairishwa kwanini?View attachment 1542987
Upo sahihi wanasema timu ipumzike japo siku 30 tangu mechi yao ya mwisho. Man city na Man utd ndiyo zimepata mapumziko hayo.Itakuwa tumepewa days off ya one week kwani tuliendelea kucheza hata baada ya ligi kuisha
Ndiyo mkuuNdiyo huyo uliyeweka Kwenye avatar ?
Hata Junior Stanslas ni mzuri sana pale Bournemouth kulikuwa na wachezaji wazuri sana.Ndiyo mkuu