Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na magoli ya ubelgiji? Alivyokuwa everton?

Leo mnataka natural number 9. Yupi zaidi ya Lukaku?

Kwamba Rashford au Martial ni bora kuliko Lukaku?

Tatizo la United ni kocha, sio wachezaji.

Klopp angekuwa na wachezaji kama hawa tungeongea mengine.
Kwahiyo Martial na Rashford chini ya Klop nao pia watakuwa balaaa,si ndio mkuu?
 
Brexit players.

Harry Kane ni takataka mbele ya Lukaku. Huyo ni mid table team player sio level ya United.

Chicharito, Nesterlooy walicheza kwa mafanikio United, tena walikuwa average na uchezaji almost sawa na wa Lukaku.
Kane takataka mbele ya Lukaku! Hii sasa sijui tuiiteje. Zingekuwa timu tungesema betting inawaharibu. Sasa hapo sijui shida itakuwa nini. Ila umenichekesha sana.
 
Mkuu nahisi we hujui mpira au una hasira za karibu au una mihemko au yawezekana mpira umeanza kuangalia juzi juzi tu.
Anayejua mpira yupoje??

Au wewe una authority gani ya kusema fulani hajui mpira? Bechmark ya anayejua mpira unaijua? Ipo wapi?

Wewe ni techincal analyst wa mpira? Una certification yeyote ya kuchambua mpira wa miguu? Au mpiga zumari kama wengine?

Kaa kimya. Huna authority yeyote ya kunipangia nini cha kusema na hujui kama najua. Wewe ndo hujui.
 
We Kiongozi, unasema Ruud Van alikuwa average player? My bare foot! Hiv kwa miaka ya karibuni tuliwahi kuwa na clinical N.9 zaidi ya Ruud?
Mchezaji anakuwa mzuri kwa formation ya kocha.

Nikatoa mfano wa wachezaji waliokuwa wa kawaida ila badae makocha wakawafanya kuwa great players. Mfano Chicharito na Nesterlooy.

Kumuondoa Lukaku pale United lilikuwa kosa kwasababu dunia ya sasa kumpata natural no 9 si rahisi, labda utoboke mfuko haswa.

Leo hii Martial ameshindwa kudeliver, mnataka no 9 natural, na wengine wanamtaka Dzeko/ Mandzukic. Kweli?

Hao wana nini kuliko alicho nacho Lukaku? Isitoshe Lukaku umri bado mdogo, ana misimu mingine minne ya kukupa atleast goli 20 kila msimu.
 
Certified Insane
 

Hujui hata unachosema au pengine mpira umeanza kushabikia Juzi mkuu, Nistelrooy alikua classic striker hata kabla ya kuja United yaani katika siku zote Leo ndo umeongea mashudu hapa, huyo mdachi pamoja na chicharito wote Ferguson aliwaleta wakiwa clinical strikers msaada wa kocha ulikua mdogo sana, tafadhali pitia historian ya Nistelrooy ujue Ferguson alikua tayari kumsajili akiwa injured for half a season akiwa PSV kutokana na ubabe wake wa kutikisa nyavu,
Pia angalia mtoto chicharito records zake jinsi alivyokua wamoto huko Mexico pengine waulize Chelsea wanamjua vizuri debut mechi yake tu ilikuaje? Nistelrooy went 10 games scoring goals consecutively msimu wake wa kwanza na wnengi mnamjua kwa kuvizia ila kuna game na Fulham na Charlton alikua ana dribble mwenyewe kwanza katikati ya uwanja hadi golini na kufunga, so don't disrespect the dutch man or the Mexican shooter Javier.
 
Huyo jamaa mm mwenyewe nlikuwa angalau namwaminia but tng ateme huo upupu wa ruud van mabao akamuita average player ndo nkamkataa saa hyo hyo na kumuona bado bwana mdogo.
 
Klop alifungwa fainali na Sevilla msiwe wasahaulifu Sana.
 
Umechambua kisport kabisa ,

Kitu kingine ninachokiona wanategemea form za wachezaji na sio uwezo wa kocha

Ndio maana baadhi ya wachezaji wakiwa out of form ,mbinu zinaumbuka ,refer semi final Jinsi lampard alichowafanya
 
Bolingoli manone Lukaku ,huyu jamaa angekuwepo na Kina Bruno angefunga sana, hakuna forward anayemzidi uwezo hapo man u
 
Takwimu hizo hapo.




Katika Club Level;

Nesterlooy amecheza mechi 449 ana goli 249. Ratio ya goli 0.55 kwa mechi.

Lukaku amecheza mechi 361 ana goli 169. Ratio ya goli 0.46 kwa mechi.

Chicharito ana mechi 311 na goli 116. Ratio ya goli 0.37 kwa mechi.

Nesterlooy ana mechi 87 zaidi ya Lukaku na pia ana magoli 80 zaidi. Lukaku ana miaka 27.

Chicharito ana mechi 50 pungufu ya Lukaku na magoli 53 pungufu. Chicharito ana miaka 32 na sahivi yupo L.A Galaxy anakaribia kustaafu.




Katika National Level;

Lukaku amecheza mechi 84 na goli 52. Ratio ya goli 0.619 kwa mechi.

Van Nesterlooy amecheza mechi 70 na goli 35. Ratio ya goli 0.5 kwa mechi.

Chicharito amecheza mechi 102 na goli 52. Ratio ya goli 0.509 kwa mechi.





Wote wakiwa Man Utd;

Nesterlooy: mwaka 2001 - 2006 ana mechi 150 goli 95. Ratio ya goli 0.633 kwa mechi.

Lukaku: mwaka 2017 - 2019 ana mechi 66 goli 28. Ratio ya goli 0.424 kwa mechi.

Chicharito: mwaka 2010 - 2015 ana mechi 103 goli 37. Ratio ya goli 0.359 kwa mechi.

Nani yupo clinical hapo? Au kwasababu Lukaku ni mweusi mwenzetu.
 
Huyo jamaa mm mwenyewe nlikuwa angalau namwaminia but tng ateme huo upupu wa ruud van mabao akamuita average player ndo nkamkataa saa hyo hyo na kumuona bado bwana mdogo.
Kuna unachojua wewe? Au unaishi kwa kukariri majina? Takwimu hizo hapo juu zinaongea.

Nina miaka 23 nashabikia Man Utd, huo ni sawa na umri wako.

Pumbavu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…