Lindeloef ametucost games zaidi ya 9 na hivi karibuni game ya southampton goli la 2 na hata game ya jana pia ametucost, amekuwa anajisahau sana
Bissaka ametucost sana jana sijaona amecheza kitu gani, na naona hizi kelele za mashabiki kuwa apande kushambulia zimemchanganya hata ile quality yake ya kukaba imeanza potea na anakamatwa akiwa off position mara kadhaa mfano goli la kwanza......
Kiufupi kwa upande wangu kwa kuangalia approach ya timu, naona tulicheza vizuri tu tulicreate nafasi nyingi ila tukashindwa kufunga mfano ile nafasi ya dakika ya 46 rashford anafanya blunder ya ajabu wakati ilikuwa inabidi atishie kama anaingia then ndani afinye kushoto apige......
Bado tunahitaji striker i think Haaland alikuwa mtu sahihi sana ili rashford na martial wakomae huko kushoto washindane na kulia washindane sancho na greenwood.....
Lindeloef na bissaka tunasafari ndefu kufika nao salama