Kocha naye kiazi zema tuna.stahi tuu sababu hana mashauzi.Bora tupigwe tuuu. Kocha hana sub? Hivi unamuwekaje matic bench??
Bora tupigwe tuuu. Kocha hana sub? Hivi unamuwekaje matic bench??



Asa hao wa nje si bora waliopo ndani..Kiwango cha kocha kipo chini kuliko hata wachezaji. Mbinu zishafeli hadi dk ya 80 no sub?
Mkuu hapa hatuna kocha anamwekaje nje Maguire na PogbaSuala si Matic Mimi naona safu ya ushambuliaji uzembe mwingi



