Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

permanides,
Man Utd kwa sasa ina wachezaji wa kutosha kupigania kombe lolote kwa sasa, kinachohitajika ni akili ya mwalimu tu.Spurs haina squad ya kupigania kombe, na hata wakichukua ni ujanja ujanja wa mwalimu tu.



Hapa umeongea ukweli mtupu hata tusipomsajili Jadon Sancho sioni mapungufu makubwa ktk ushambuliaji kwa sasa, hasa hasa hofu yangu ipo kwa beki wa kati zaidi na nafasi ya kiungo wa chini ile nafasi ya Nemanja Matic. Hizi nafasi mbili ndizo tunahitaji watu zaidi maana sina imani sana na maeneo hayo hususani tukipata mechi ambazo tunakuwa exposed under pressure pia Nemanja sina hakika nae kama anaweza kucheza mechi zaidi 30 za EPL back to back kwa nafasi ile ya kiungo wa chini kwa umri wake (31) na kutupa atleast 85% consistency.

Kwa nafasi ya ushambulizi binafsi naona tuko sawa ila tunahitaji hata mkongwe mmoja wa kuwa kama serious backup kwa hawa machalii wetu watatu pale mbele yaaani Anthony, Mason na Marcus. Wakati tunaji-fix na longterm target lakini kwa sasa kuelekea msimu mpya kama Sancho tutampata au tusimpate bado haiharibu nafasi yetu ya kusaka kombe.

Nafasi ya Nemanja ningependa hata tujaribu kukaa na Real Madrid juu ya Federico Valverde huyu namuona kama ni best fit katika ile nafasi pia hata kuleta team balance akicheza na Bruno pamoja na Paul. Kwa Zidane huyu jamaa sio chaguo lake #1 yeye huwa anamtumia zaidi Carlos Casemiro japokuwa msimu huu uliomalizika alikuwa anawachezesha wote kwa pamoja.

Mimi naona tunahitaji wachezaji watatu kuongeza asilimia za kuwa serious title contenders ambazo ni central defender (must), Central midfielder (must) and Stricker/attacker (we need a new guy but not necessarily). Unaweza kushangaa why central defender? wakati tuna wengi? wale wengi huwa muda mwingi wanaumwa wapo vitandani, ni Harry pekee ana uwezo wa kucheza mechi zaidi ya 30 pale za EPL mfululizo wengine hawawezi kidogo Lindelof ila nae He's too soft sio aggressive as a central defender.
Madrid watakuwa wendawazimu, wakupe Valverde, duuh!!
 
Line up yetu leo hii
manchesterunited___CDt7lPDIH4A___.jpeg
 
Ndombele ni mpya kwenye kikosi,Lo Celso,Bergwijin,Fernandes..rebuilding gani unayoitaka?

Kubali kuwa Mourinho naye mbinu zimeanza kumwishia..Spurs bado wanatalents nzuri tu
Kwa nini msiwatafute mnataka kusajili wachezaji kama akina Sancho? Ili tuone vizuri hivyo vipaji.
 
Man u ina squad depth kubwa kuliko spurs ???
Usiwe kama sponchi linalonyonya kila kitu pamoja na uchafu, mtu akikisikia ukisema Tottenham ina depth squad nzuri zaidi ya Man Utd ni wazi ataona una shida, ukiachana na beki zilizoflop kama Phill Jones hauna cha zaidi pale Spurs, wachezaji wawili tu Harry Kane na Son waliumia, timu ikacheza eti wanamtegea Lucas Moura awe mfungaji, huu ni utani kabisa.
 
Usiwe kama sponchi linalonyonya kila kitu pamoja na uchafu, mtu akikisikia ukisema Tottenham ina depth squad nzuri zaidi ya Man Utd ni wazi ataona una shida, ukiachana na beki zilizoflop kama Phill Jones hauna cha zaidi pale Spurs, wachezaji wawili tu Harry Kane na Son waliumia, timu ikacheza eti wanamtegea Lucas Moura awe mfungaji, huu ni utani kabisa.
Pochetino alifika finali ya UEFA champions league kwa magoli ya Lucas Moura pale Amsterdam au yule Lucas Moura alishahama Spurs mkuu ?
 
★Leo Rashid Makame na Martial wanacheza upuuuzi wanafanya makosa yale yale yani kuna Kaka yao Maguire anacheza fyongo mpaka inabidi Eric Bailly aingilie kutatua kero za Maguire Shoutout kwake Eric dah★
 
Guys team yetu inahitaji usajli wa maana..team yetu sio nzuri kama ambavyo baadhi yetu tunavyoamini..

Imagine mpk sshv bbado hatuja break defense ya hawa madogo..Meanwhile Intermilan amewasha moto goli mbili ndani ya dkk 25.

Man u sio nzuri kama tunavyoamini.
 
Back
Top Bottom