Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Unajistukia tu, na kujidefend mkuu... Hutaki ubishi lakini umeanza kwa ubishi,Mkuu kiwa sensible...msimu wenu ndio umeisha..wa kwetu bado sana..!!
Pili dili ya sancho tunalipa 120Mill..regardless kwa installment au full lkn tutatoa mzigo wote mwisho wa siku
Tatu Ni kweli Sanchez amepiga pesa ya bure lkn kumbuka hatukutoa hata mia kumnunua na hizi pesa ambazo ameshakula ni kama ada yake ya usajili kama tungemunua..meanwhile na nyie Mkhitaryan mbona amewapiga ila mnajikuta kukaa kimya..!? Kimsingi hii deal ya sanchez-mikhitaryan ilikuwa ni lose-lose
Nne sibishani na ww ila nakuweka sawa uelewe sunia inaendeleaje..km ukitaka kubishana then Am not the right guy for that big man!.
? Msimu gani huo ambao wenzetu mupo sasa hivi

...We jamaa hujui kama sisi bado tupo EUROPA wakati nyie FA cup ndo ilikuwa mechi yenu ya mwisho!?? Au Arsenal mnacheza UEFA msimu Huu!?Unajistukia tu, na kujidefend mkuu... Hutaki ubishi lakini umeanza kwa ubishi,
Unasemaje kuwa msimu wetu umeisha ila wenu bado? Msimu gani huo ambao wenzetu mupo sasa hivi
...
Nimecheka sana.
Mngepumzika tu kidogo kwanza mkusanye nguvu,maana ni dhahiri hoja zimewaishia.

We jamaa hujui kama sisi bado tupo EUROPA wakati nyie FA cup ndo ilikuwa mechi yenu ya mwisho!?? Au Arsenal mnacheza UEFA msimu Huu!?![]()

Ni yeyeeeeHuyooo
Media za UK zitambeba..si unajua ni mtoto wa nyumbani??Wakuu..sancho huko tayarii
Tusubiri official statement
Ila jamaa atakuwa anakula more than £300,000 kwa wiki..thats alot!! Itabidi ajitume sana otherwise atajikuta anakuwa spotlight ya critics kama enzi za pogba.
Weka source otherwise ni uzushi badoMAMBO ni moto, Manchester United imefikia muafaka wa makubaliano binafsi na wawakilishi wa winga wa kimataifa wa England anayecheza Borussia Dortmund, Jadon Sancho na imeelezwa kuwa mazungumzo, kati ya viongozi wa Dortmund na United bado yanaendelea ili kufikia muafaka wa ada ya usajili ya fundi huyo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka hivi punde ni kuwa United imekubali kumlipa Jadon Sancho mshahara wa Pauni 340,000 kwa wiki na kumfanya kuwa mchezaji namba tatu anayelipwa mpunga mrefu ndani ya EPL nyuma ya David de Gea anayeongoza na Mesut Ozil anayeshika nafasi ya pili.
Mkataba wa Sancho unatarajiwa kuwa ni wa miaka mitano huku bei yake ikiwa ni Pauni 108 milioni ambayo, United inatarajia kuitoa kwa awamu, ikiwa mara ya kwanza itaitoa Pauni 63 milioni, kisha itatoa Pauni 27 milioni, na awamu ya mwisho itatoa Pauni 18 milioni.
Ikiwa United itafanikiwa kumsajili mchezaji huyo kwa dau tajwa hapo juu, Sancho ndio atakuwa mchezaji ghali zaidi ndani ya kikosi hicho, kwa kuwa atakuwa amevunja rekodi ya Paul Pogba ambaye alisajiliwa kwa Pauni 89 milioni, akitokea Juventus.
Source nini usiweke tangazo bila sourceWakuu..sancho huko tayarii
Tusubiri official statement
Ila jamaa atakuwa anakula more than £300,000 kwa wiki..thats alot!! Itabidi ajitume sana otherwise atajikuta anakuwa spotlight ya critics kama enzi za pogba.
MwanaSpotiWeka source otherwise ni uzushi bado
Kwa akili yako iyo ndo umeona source ya kuelewekaMwanaSpoti
Waingereza huwa wanajisahau sana.
Pogba nae atataka aongezewe mpaka £350,000.MAMBO ni moto, Manchester United imefikia muafaka wa makubaliano binafsi na wawakilishi wa winga wa kimataifa wa England anayecheza Borussia Dortmund, Jadon Sancho na imeelezwa kuwa mazungumzo, kati ya viongozi wa Dortmund na United bado yanaendelea ili kufikia muafaka wa ada ya usajili ya fundi huyo.