Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anarudi kundini.
Screenshot_2020-08-04_165106.jpg
 
True tukishampata Sancho tutafute CF,eneo la kiungo tuko loaded..CB Smalling anaweza kurudi maana inter wameshindwa kutoa £18m
Chief..kwnye midfield tuna Quantity lakini hatuna quality ya kutosha..tunahitaji midfield mmoja tu mwenye Quality ili awe back up ya kina pogba na bruno

Smalling alikuwa roma mkuu sio inter..i blv umechapia kidogo hapo..
 
Hata mimi naona hivyo..tunahitaji CM bora kabisa,lakini why tusiwe tunafanya biashara hata za kufosi kuondoa mtu na kureplace..tunakuwa na wachezaji wengi wenye viwango vinavyofanana(average perfomance+Poor perfomance) na bado wanavuta mpunga wa kutosha...Maana ukisajili CM mwingine bila kumuondoa Fred mapema hapo sijui utakuja kumuondoa lini maana hata game time hatakuwa hana

Kama Chelsea walivyofanya kwa Morata
 
Ni kweli maana ukiangali pale
FRED,MC TOMINAY NA NEMANJA sio wa kuwaamini sana...ingawa sometimes huwa wanaperform vzr kbs..

Najiuliza hivi haiwezekani tukamuiba Thiago alcantara!?

Embu imagine utatu wa Thiago Pogba na Bruno..alaf mbele tuna Rashford,martial na Sancho..uwiii
 
Back
Top Bottom