Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ninachoona jezi ya Arsenal ni kali kutokana na rangi zake, nyekundu na nyeupe ni combo moja ya hatari sana. Hii jezi yetu full red na vi-stripe vyeupe vya adidas havina mvuto.

Hiyo jezi hapo chini ni kali kutokana na mchanganyo wake wa rangi. Designer wa adidas anapofeli ni kukosea hadi away na 3rd kits.View attachment 1526144
Kwani akifanya ubunifu km huu tutamgomea
Siamini km tatizo ni rangi yetu.....Kuna kipindi tushawahi valishwa jezi za Nike zenye alama ya V nyeusi kifuani
Mi naona Adidas ni poor in designing
JamiiForums894355634.jpg

Kawaida jezi yetu inatKiw nyekundu ndio rangi kuu ila nyeupe na nyeusi zinahusika
 
Arsenal walishazoea Mateso na kusajili flops halafu Arsenal imeshaondoka tena kwenye hadhi ya team kubwa hivyo hasara mapungufu yoyote ya kiuongozi hayapewi uzito kama yanavyopewa kwa united.
Povu
 
Hawako tena kwenye level ile ya mwanzo hivyo makosa madogo madogo hayapewi sana nafasi ya mijadala na yanaonekana ya kawaida sana.

Hebu jaribu kutafakari sasa hivi Arsenal kuzishinda zile timu za juu nne na Tottenham limekuwa jambo la kushangaza kwamba Arsenal kawezaje kushinda mechi kubwa wakati huo huo Arsenal kufungwa na timu ndogo kama Aston Villa siyo habari tena ni jambo la kawaida tu.

Unaweza kuona namna gani Arsenal ilivyoporomoka mkuu
Kwahiyo United hii ipo katika level ile ya mwanzo?wewe unaijua United kweli?
Shabiki wa Manyumbu anayeicheka Arsenal ni mpumbavu tu pekee,
Maana katika timu zilizoporomoka na nyumbu ni included labda kama umeanza kushabikia nyumbu juzi walivyobeba kombe la top3....
Hii Nyumbu ambayo Old Trafford watoto wadogo wamepageuza pa kujiokotea point
Hapatishi tena kama enzi za SAF na wewe unaicheka Arsenal....

Hivi ni vituko
 
kwa mtiririko wa uandishi wako ni dhahiri ya kwamba arsenal hawafanani na sisi, kwa sababu united bado tuna uwezo wa kujificha kwenye hoja ya kipindi cha mpito ila udhaifu wa arsenal umedumu kwa takribani miaka 16 (si mpito tena bali ni kuporomoka)

hahahaaaaaa
Jipeni moyo
Nyumbu mshapoteana
 
Back
Top Bottom