Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa huyu chalii United wanaenda kutupa hela tena
Ni mzuri anapace, ni tall, left footed, pia anacheza mipira ya juu bila shida na mwili wake umejengeza meams anaweza kucheza EPL akapambana bila shida,

udhaifu wake ni katika passing sioni kama ni mzuri sana kama yule pau torres pia tackling zake ni kama bissaka hivi sasa ile kwa mtu anaecheza centre anaweza kusababisha penalty kadhaa.....
 
Huna jipya, unataka kupata releaf kupitia Arsenal
Hivi msimu huu hmebeba nini wewe? Nyumbu mnatia huruma
Nimejitahidi kuwa objective sana Dully Jr.

Msimu Arsenal walitoka kwenye level ya timu kubwa ni pale walipomuuza Alexander Song, Cesc Fabrigas na Robin Van Persie kwa timu kubwa.

Unakumbuka ile match Arsenal walimtoa AC Milan UEFA champions League kwa goli la Fabrigas na Walcot ?

Hii ndiyo misimu ambayo Arsenal walikuwa wanahesabika kama timu kubwa baada ya hapo imekuwa timu ya kawaida bado wanajitutumua tu with time watafika level ya Everton.
 
Ni mzuri anapace, ni tall, left footed, pia anacheza mipira ya juu bila shida na mwili wake umejengeza meams anaweza kucheza EPL akapambana bila shida,

udhaifu wake ni katika passing sioni kama ni mzuri sana kama yule pau torres pia tackling zake ni kama bissaka hivi sasa ile kwa mtu anaecheza centre anaweza kusababisha penalty kadhaa.....
Hamna beki hapo kwa mfumo wa Solkjaer wakutumia centerbacks kwenye build up hatakuwa useful sana.

Wachezaji wengi wa south America ni kubahatisha sana kwenye epl wengi huwa wanachukua muda mrefu sana kuadopt na list ya flops ni ndefu kuliko waliofanikiwa.

Pau Torres ni beki mzuri sana japo height na positioning yake ni nzuri sana pace na tactical quality yuko vizuri huyu Magalhe anafanya tackle nyingi sana that means positioning yake na kusoma mchezo ni faulty.
 
Nimejitahidi kuwa objective sana Dully Jr.

Msimu Arsenal walitoka kwenye level ya timu kubwa ni pale walipomuuza Alexander Song, Cesc Fabrigas na Robin Van Persie kwa timu kubwa.

Unakumbuka ile match Arsenal walimtoa AC Milan UEFA champions League kwa goli la Fabrigas na Walcot ?

Hii ndiyo misimu ambayo Arsenal walikuwa wanahesabika kama timu kubwa baada ya hapo imekuwa timu ya kawaida bado wanajitutumua tu with time watafika level ya Everton.
Na umeichangia point 4 msimu huu, huoni aibu kuongea huu utopolo mkuu.... Sasa mkubwa ni yupi kati ya Arsenal na United

Kama kigezo ni kufungwa na timu ndogo?

Mimi naona Man United walitoka ktk level za timu kubwa pale walipomuuza CR7
 
Walimuuza cr7 wakaenda finali UCL na wakatwaa ubingwa epl mfululizo mara tatu
 
Kwahiyo United hii ipo katika level ile ya mwanzo?wewe unaijua United kweli?
Shabiki wa Manyumbu anayeicheka Arsenal ni mpumbavu tu pekee,
Maana katika timu zilizoporomoka na nyumbu ni included labda kama umeanza kushabikia nyumbu juzi walivyobeba kombe la top3....
Hii Nyumbu ambayo Old Trafford watoto wadogo wamepageuza pa kujiokotea point
Hapatishi tena kama enzi za SAF na wewe unaicheka Arsenal....

Hivi ni vituko
Man united bado iko kipindi cha mpito ndiyo maana hata ikifungwa inakuwa habari kubwa sana maana timu kubwa huwa hazifungwi kirahisi.
 
Adidas waache ujinga

Mbona wanawafyatulia Arsenal kits kali?..iweje sisi tuletewe home kit ya 2020/2021 ambayo ni mfanano wa 2017/2018 away kit?

Rubbish
Mkuu..official kit yetu bado haijatoka..hizo ni speculations tu..!

Jezi zetu zinatoka siki chache zijazo..watu wanadai zitatangazwa usajili wa sanchp ukikamilika ili kuboost mauzo..
 
kwa lugha ya nyumbani tunasema liwalo na liwe lakini hapa utahama,
1596512489876.png
 
Mkuu..official kit yetu bado haijatoka..hizo ni speculations tu..!

Jezi zetu zinatoka siki chache zijazo..watu wanadai zitatangazwa usajili wa sanchp ukikamilika ili kuboost mauzo..
Mara nyingi hizi leaked photos zinakuwa ndo kweli..so,tutarajie uzi kama huo
 
Mkuu..official kit yetu bado haijatoka..hizo ni speculations tu..!

Jezi zetu zinatoka siki chache zijazo..watu wanadai zitatangazwa usajili wa sanchp ukikamilika ili kuboost mauzo..
Leo ndiyo siku rasmi inatarajiwa uzi kuachiwa kabla ya mechi yetu ya Europa dhidi ya LASK.

Mimi naamini hiyo ndiyo jezi itakayotambulishwa rasmi kutumika msimu 2020/21

Hizi leaked zinazoingia sokoni ndiyo mara nyingi huwa zinatumika. Nakumbuka uzi wa Liverpool uliingia sokoni wiki moja kabla ya official statement kutoka Liverpool.
 
Back
Top Bottom