Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

juventus na AS ROMA wameona jambo gani la umuhimu ambalo sisi mashabiki wa man utd hatulioni kutoka kwa smalling?
Timu za italia siku hizi zinachukua watu ambao wameanza kuwa hawatoshi kwenye EPL..kina Moses,Ramsey,Young,Herrera n.k

So ni haki yao..Smalling kwa standard tunayoitaka United haingii tena aisee..aje labda awe backup tu
 
labda ole ajifiche kwenye hoja ya kucheza na passing, kwenye hoja ya kulinda smalling ni bora zaidi kuliko lindelof na tuanzebe
Mara nyingi build up ya team ya Ole inaanzia kwa center backs hawa ndiyo hupandisha mpira mpaka juu ya mstari.
Mfano hapa.
Screenshot_20200803-160945_YouTube.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20200720-204746_YouTube.jpg
    Screenshot_20200720-204746_YouTube.jpg
    16.6 KB · Views: 3
Timu za italia siku hizi zinachukua watu ambao wameanza kuwa hawatoshi kwenye EPL..kina Moses,Ramsey,Young,Herrera n.k

So ni haki yao..Smalling kwa standard tunayoitaka United haingii tena aisee..aje labda awe backup tu
labda unadhani sababu kubwa ni ipi?
juzi nimemuona ashley young kwa dakika 30, Inter milan hawakuwa wakimiliki mpira muda wote ila kilichokuwa kinanishangaza ni kumuona ashley young muda mwingi anakimbia na kuoverlapping.

nikawa najiuliza hii pumzi anaitolea wapi.
 
cha ajabu mzigo wa matusi tunaangushiwa peke yetu labda ni kwa sababu ya mshahara tunaomlipa sanchez (lakini kwa nyakati zile isingelikuwa rahisi kumshawishi sanchez kuondoka arsenal kwa mshahara wa kawaida sana)
Arsenal walishazoea Mateso na kusajili flops halafu Arsenal imeshaondoka tena kwenye hadhi ya team kubwa hivyo hasara mapungufu yoyote ya kiuongozi hayapewi uzito kama yanavyopewa kwa united.
 
labda unadhani sababu kubwa ni ipi?
juzi nimemuona ashley young kwa dakika 30, Inter milan hawakuwa wakimiliki mpira muda wote ila kilichokuwa kinanishangaza ni kumuona ashley young muda mwingi anakimbia na kuoverlapping.

nikawa najiuliza hii pumzi anaitolea wapi.
Mkuu hata chriss smalling naye ametokea kuaminika kwel As Roma na kuna mechi anapiga had assist yani kama sio yule wa man u
 
matusi makubwa sana haya.....wenyewe bado wapo hai
Hawako tena kwenye level ile ya mwanzo hivyo makosa madogo madogo hayapewi sana nafasi ya mijadala na yanaonekana ya kawaida sana.

Hebu jaribu kutafakari sasa hivi Arsenal kuzishinda zile timu za juu nne na Tottenham limekuwa jambo la kushangaza kwamba Arsenal kawezaje kushinda mechi kubwa wakati huo huo Arsenal kufungwa na timu ndogo kama Aston Villa siyo habari tena ni jambo la kawaida tu.

Unaweza kuona namna gani Arsenal ilivyoporomoka mkuu
 
Dili la Sancho likikamilika litambakisha United mpaka June 2025, makubaliano baina ya timu (Manchester United) na mchezaji yamekamilika.

Yanasubiriwa makubaliano kati ya BVB na United kukamilisha dili la Sancho - Fabrizio Romano (via: Instagram)
 
Hawako tena kwenye level ile ya mwanzo hivyo makosa madogo madogo hayapewi sana nafasi ya mijadala na yanaonekana ya kawaida sana.

Hebu jaribu kutafakari sasa hivi Arsenal kuzishinda zile timu za juu nne na Tottenham limekuwa jambo la kushangaza kwamba Arsenal kawezaje kushinda mechi kubwa wakati huo huo Arsenal kufungwa na timu ndogo kama Aston Villa siyo habari tena ni jambo la kawaida tu.

Unaweza kuona namna gani Arsenal ilivyoporomoka mkuu
kwa mtiririko wa uandishi wako ni dhahiri ya kwamba arsenal hawafanani na sisi, kwa sababu united bado tuna uwezo wa kujificha kwenye hoja ya kipindi cha mpito ila udhaifu wa arsenal umedumu kwa takribani miaka 16 (si mpito tena bali ni kuporomoka)

hahahaaaaaa
 
ni installment au kwa malipo ya jumla?
Hapa ndiyo panapokwamisha dili, United wanataka walipe kwa installments. Hivyo bado hawajafikia maelewano baina ya timu na BVB wanataka kujua muafaka wa dili hilo mwezi huu August ili kama Sancho ataondoka watafute replacement yake. Depay yupo kwenye list ya Dortmund kama mmbadala wa Sancho.
 
Back
Top Bottom